Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,648
- 6,409
Nnazo nyingi tuu ila ya kiganda ndio mara ya kwanzaSampo moja tu ukaifungulia uzi?
AsanteNdugu wananchi ....
Bwana kwenye pirika pirika zangu za kuachika nimejikuta nimenasa kwa mtoto bint wa kiganda.
Huyu binti ni binti kweli kifua kimesimama,miguu nyama figure nyembamba kifupi ni wa kawaida ila anamvuto kwenye mapenzi.
Hajui kiswahili sema wabongo washa advance wanapeleka umbea kwa lugha yeyote siku hizi ivo alichoimba konde boy kweli tuwafiche tuu (namfichaa) maana walishampa habari zangu na mabalqa ya kuzusha zamani wakati mi nilimficha.
Msichana huyu alinisumbua kidogo kumpata, isingekua kusoma tution cuba nisingempata...
Kilicho nivutia.
1. Anamsimamo wa dini, siku moja walimtumua church kisa alivaa nguo fupi (japo kunawengne wanavaa fup zaid) lakini yeye alilichukulia swala lile very positive na kunishangaza kwakusema "those who loves, will tell you the thrue no matter it heart how much" alibadili na kufurahia ibada.
2. Alinisumbua saana kwenye kumzangamua japo diploma ya cuba iliinisaidia akaliwa... kwa shart la kupima ngoma na homa ya ini.
3. Sio goldiger
4. Hard worker
5. Anaheshima na hofu
Binafsi namuona ka ndiye mke wangu ndoa yangu ya pili sa kabla sijaamua kuoa niongezeeni sifa kuu za wanawake wa kiganda na je ni watunzi wa ndoa na familia?
Karibuni....
Mhhh kwamba ni wasomi saana??Mkuu waganda ni wahaya waliochangamka[emoji736]
We unawajua mzee yaan naforce kumuhudumia ye hatakiNi wachapakazi na hawapendwi kuhudumiwa kama Zali.
Kwa hiyo wahaya wamezubaa?Mkuu waganda ni wahaya waliochangamka[emoji736]
Mhhh kwamba ni wasomi saana??
Kiingereza cha Matombo hiki na Mganda wako mnyankole"those who loves, will tell you the thrue no matter it heart how much
Weka ndani, kugongewa utagongewa na wa kwao hukohuko.Ndugu wananchi ....
Bwana kwenye pirika pirika zangu za kuachika nimejikuta nimenasa kwa mtoto bint wa kiganda.
Huyu binti ni binti kweli kifua kimesimama,miguu nyama figure nyembamba kifupi ni wa kawaida ila anamvuto kwenye mapenzi.
Hajui kiswahili sema wabongo washa advance wanapeleka umbea kwa lugha yeyote siku hizi ivo alichoimba konde boy kweli tuwafiche tuu (namfichaa) maana walishampa habari zangu na mabalqa ya kuzusha zamani wakati mi nilimficha.
Msichana huyu alinisumbua kidogo kumpata, isingekua kusoma tution cuba nisingempata...
Kilicho nivutia.
1. Anamsimamo wa dini, siku moja walimtumua church kisa alivaa nguo fupi (japo kunawengne wanavaa fup zaid) lakini yeye alilichukulia swala lile very positive na kunishangaza kwakusema "those who loves, will tell you the thrue no matter it heart how much" alibadili na kufurahia ibada.
2. Alinisumbua saana kwenye kumzangamua japo diploma ya cuba iliinisaidia akaliwa... kwa shart la kupima ngoma na homa ya ini.
3. Sio goldiger
4. Hard worker
5. Anaheshima na hofu
Binafsi namuona ka ndiye mke wangu ndoa yangu ya pili sa kabla sijaamua kuoa niongezeeni sifa kuu za wanawake wa kiganda na je ni watunzi wa ndoa na familia?
Karibuni....
Nacho jua hamna binti mganda msomi mjinga utaumia wewe wanajua timing,Ndugu wananchi ....

Mkuu waganda ni wahaya waliochangamka[emoji736]