Sifa za wanawake wa kichaga

Imeshawahi kukutokea mkuu? Kwann ukagande kwa Kaka? Tafuta Mali zako ulitaka ukakae mwaka mzima? For what?

Hapana mimi nashukuru nimekulia kwa wazazi wangu maisha yangu yote.

Ukweli ni kwamba watu wengi kwenye hii jamii yetu bado tunapaswa kusaidiana.

Ukiangalia hata hao wanaume wengi leo hii ukifatilia historia walikotoka utakuta walipitia mahali kwenye mikono ya ndugu,

Je hao ndugu wasingewasaidia na kuwatetegemeza wangefika walipofika kirahisi?

Kuwachukia ndugu wa mume ni mbaya sana na Ndiyo maana wengine ndugu wengine wa mume wakimuona mke ni mchoyo na mnoko huanza kumkuwadia ndugu yao ili kumkomoa yule mke

Tuwapende ndugu wote!
 
Kuna vitu vingine Ni too much,haiwezekan uje kwangu ukae miez miwili for nothing
 
Kuna vitu vingine Ni too much,haiwezekan uje kwangu ukae miez miwili for nothing

Nakuelewa vizuri lakini ikiwapo sababu ya kufanya hivyo mfano mtu anasoma short course n.k kuna kubaya gani?

Halafu ukiwapo upendo mambo mengi huwa na wepesi sababu huyo mtu akiwapo nyumbani kwako atawasaidia na kazi nyingine za nyumbani lakini ikiwapo chuki hata yale mazuri na mchango wa ndugu wa mume Katika familia unakuwa hauonekani wala kuthaminiwa!

Upendo hisitiri wingi wa makosa!
 
Eti wanawake wengine utasikia wakisema “ooh nimeolewa na mmoja”

Hiyo kauli siyo sahihi hata kidogo!

Huyo Mwanaume Mpaka umemkuta ana meno 32 unajua alikopita ?

Unawajua walomtegemeza?

Unawajua walokuwa wanamkia uji alivyokuwa akiumwa homa?

Unajua walokuwa wanamlisha na kumsomesha?

Ukiona vyaelea vimeundwa!

Mwanamke unatakiwa kujenga daraja na siyo kubomoa mahusiano ya ndugu wa mume na zidi ya mumeo
 
Wengine wanaenda mbali zaidi hadi kuwachukia wazazi wa mume wake

Unataka mumeo wazazi wake wawe na mfundo naye?

Unataka mumeo wazazi wake wamueleje?

Halafu cha ajabu wazazi wa kitanzania wengi Eti wanaogopa kuzungumza kwa kuogopa kuachanisha ndoa ya mtoto wao

Mwanamke haishi kuwatia ila ndugu wa mume!
 
Nakuelewa vizuri lakini ikiwapo sababu ya kufanya hivyo mfano mtu anasoma short course n.k kuna kubaya gani?

Halafu ukiwapo upendo mambo mengi huwa na wepesi sababu huyo mtu akiwapo nyumbani kwako atawasaidia na kazi nyingine za nyumbani lakini ikiwapo chuki hata yale mazuri na mchango wa ndugu wa mume Katika familia unakuwa hauonekani wala kuthaminiwa!

Upendo hisitiri wingi wa makosa!
Kuna ndugu wengine wakija hivyo hata vile vikaz vidogo vidogo hawajitolei kukusaidia sasa hiyo pia inachangia
 
Wanawake wa kichaga kwa kutafuta hela ntawapa % 98,tatizo lenu kubwa hampo romantic kabisa alafu chura hamna kabisa, mwanamke huwezi kutofautisha matako na mgongo hataree,, povu ruksa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejiandaa kufua nguo eeh hivo povu lake si kitoto mkuu, huwezi kutofautisha mgongo na nini😀😀 sasa utofautishe ili iweje ita vyote tu jina moja "mgongo" inatosha🏃‍♀️🏃‍♀️
 
SIFA ZA WANAWAKE WA KICHAGA
1. Wakarimu
2. Waaminifu
3 . Wavumilivu
4. Wachapakazi
5. Hawapendi ela wanapenda maendeleo😌

Nani anabisha ? 😁ajifanye kama anajikuna😁😁😁😁😁
Kiswahili hiki, ni kweli hawapendi ela ila wanapenda hela
 
Back
Top Bottom