Sifa za wanawake wa kichaga

SIFA ZA WANAWAKE WA KICHAGA
1. Wakarimu
2. Waaminifu
3 . Wavumilivu
4. Wachapakazi
5. Hawapendi ela wanapenda maendeleo😌

Nani anabisha ? 😁ajifanye kama anajikuna😁😁😁😁😁


Sibishi ila wewe utakuwa sio Mchagga bali Bwashee wa Kishimundu.
 
Wimbo wa kila kitu watoka soon

1. Kibamia kwenye kila kitu
2. Mashine kwenye kila kitu
3. Tango kwenye kila kitu
4. Mitandao ya kijamii kweli kila kitu
5. Dharau kwenye kila kitu
6. Kicheko kwenye kila kitu
7. Kila kitu kwenye Kila koru
8. Upendo kwenye kila kitu
9. Kubembelezwa kwenye kila kitu
10. Uongozi kwenye kila kitu
11. I will marry you kwenye kila kitu
12. Zilipendwa kwenye kila kitu
13. Wanene kwenye Kila kitu
14. Vichekesho kwenye kila kitu
15. Wembamba kwenye kila kitu
16. Wenye gari kwenye kila kitu
17. Wasomi kwenye kila kitu
18. Kazi za ofisini kwenye kila kitu
19. Ndivyo ilivyo kwenye kila kitu
20. Kila kitu
21. Mwili kwenye kila kitu
22. Mhindi kwenye kila kitu
23. Mchina kwenye kila kitu
24. Sex kwenye kila kitu
25. Puli kwenye kila kitu
26. Basha kwenye kila kitu
27. Hakika kila kitu ni kwenye kila kitu
38. Ini kwenye kila kitu
39. Ndoto kwenye kila kitu
40.Huna maana kwenye kila kitu

N.k

Wametamka wenyewe


Sijaelewa unamaanisha nini kwenye "kila kitu" ulichoimba sijui
 
Hawako romantic, penda sana pesa na HAWAJUI mapenzi. Kitandani ni magogo
 
Kuna wanawake ni makauzu hatari!

Yani unamchukia Mama na baba aliyemzaa mume wako?!

Kazi kulalamika tu mwanamke kwanini unafanya hivyo.?!

Halafu Mwanaume hustuki

Wazazi wengi wana mafundo mioyoni mwao.

Wengi hawataki kusema ya moyoni ili kuepuka kuvunja nyumba za watoto wao wa kiume lakini kiukweli wazazi wana mafundo mioyoni mwao !

Inafika mahala mzazi ukiwa na watoto wakiume inakuwa ni mtihani sababu ya aina ya wanawake wanaoishi nao!
 
Eti wengine wanajidai wakisasa zaidi siku hizi Wakija wageni ndugu wa mume wanaenda kutafutiwa loji nyumba ya wageni ya karibu kwenda kulala huko wakati nyumba ipo na nafasi na vyumba vya kutosha

Kisha baada ya siku 2 -3 wanaenda Katiwa tickets waondoke bila ridhaa yao!

Tabia ya choyo mbaya sana!
 
Sasa kuna jamaa fulani kaoa mkewe amechanganya makabila baba mchaga Mama mnyakyusa basi weeeee nanga zinapaa nakwambia

Ndugu wa mume hawana hamu naye!

Kuna siku mama wa mume alikuja bila taarifa weeee ilikuwa ishu kwanini aje bila taaarifa?!

Watoto wa mashemeji ndiyo anataka kupigana nao ngumi waondoke!
 
Eti wengine wanajidai wakisasa zaidi siku hizi Wakija wageni ndugu wa mume wanaenda kutafutiwa loji nyumba ya wageni ya karibu kwenda kulala huko wakati nyumba ipo na nafasi na vyumba vya kutosha

Kisha baada ya siku 2 -3 wanaenda Katiwa tickets waondoke bila ridhaa yao!

Tabia ya choyo mbaya sana!
Imeshawahi kukutokea mkuu? Kwann ukagande kwa Kaka? Tafuta Mali zako ulitaka ukakae mwaka mzima? For what?
 
Back
Top Bottom