Thank God nilikwenda kusoma chuo kikuu enzi hizo nchi ina university moja tu UDSM with Mwalimu Nyerere (RIP) as chancellor.
Wakati huo SUA na muhimbili zilikuwa ni campus tu,mzumbe na ifm vilikuwa ni vyuo tu vya kutoa diploma.
Sasa huu utitiri wa vyuo tutapata kweli quality graduates au ni quantity tu?