Sifa za wanaume weupe

Brother tukianza simuliana misoto ya maisha na kazi ngumu..Hukuti misoto yangu hata kwa asilimia 1 wala kazi zangu huwezi zifanya... sema nini acha tu refresh kidogo si unajua tena ha ha ha
 
Kama hujui wanaume mahandsome ndo wanaoaga wanawake wabaya sijui Kwa nini.

Nitajitahidi nikwepe Hilo aisee
 
kwasababu wanawake wabaya wanawapenda sana maHB, wanataka kuzaa watoto wazuri. wanawake wana malengo sana.
Kama hujui wanaume mahandsome ndo wanaoaga wanawake wabaya sijui Kwa nini.

Nitajitahidi nikwepe Hilo aisee
 
Mimi ni mweupe na najiweza kiasi flani ila situmii hela kwa ajili ya madem na wala siweki wazi uwezo wangu kiuchumi, ila kweli mkuu mi ni handsome. Na usisahau sipendi ugomvi ila nauweza
 
Kama hujui wanaume mahandsome ndo wanaoaga wanawake wabaya sijui Kwa nini.

Nitajitahidi nikwepe Hilo aisee
MI nimeshajikwaaa hapo,halafu ndio sina mpango wa kubanduka leo wala kesho Ninavyompenda Wife sina maelezo na sura yake ile ile yani Full AMANI.
 
Lazma mke awe na ka presha kakuibiwa muda wote
 
Mwanaume kabisa cheupe? Duh wewe jamaa wewe hiyo ni rangi ya kike , ndo maana wana tabia ulizozitaja
 
Yaani nikisema hapa sijui itakuwaje, ukimpa date ya kwanza ukafika ukaanza kudengua za sitaki nataka anakuacha anakupa na pole juuuu!!!! Mtu mzima unajua hapa hamna kitu

Mwanaune mweupe namuona she mwenzangu tu,,
Hivi unasemaje? Kwa hiyo wanaume blacks kabla hujamaliza kudengua kichwa kimeshachungulia geiti la ikulu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…