Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,826
Thubutu kuna kadada Fulani hivi amazing kakajiroga kuolewa na mwanaume mweusi tii watoto sasa yaani atabeba katoto kanaonekana meno na macho tu. Niliogopa sana.Yaani nyie ma hb mnaoa wabaya ndo kama sie mwanamke ukijiamini muonekano wako huwezi kuogopa kuzaa na sura yoyote,, hata wasira unampa mbegu kiroho safi
nasemajeeee Labda usije huku dukani..kila kitu mtume mtu akufatie ila Usitoke nnje nasema
Mie hata marafiki zangu lazima wawe wazr aiseeYaani nyie ma hb mnaoa wabaya ndo kama sie mwanamke ukijiamini muonekano wako huwezi kuogopa kuzaa na sura yoyote,, hata wasira unampa mbegu kiroho safi
Thubutu kuna kadada Fulani hivi amazing kakajiroga kuolewa na mwanaume mweusi tii watoto sasa yaani atabeba katoto kanaonekana meno na macho tu. Niliogopa sana.
Kwa kuzaliwaHivi mwanaume unakuwaje mweupe lakini
sema hivi vidada vyenye waume weusi vinajiamini...shda ako nije nkuzibue ukansemeee
Shida ni kuwa nyie wanawake wazuri wazuri mnalinga sana kivumbi ni ukutane na mwanaume mweupe asiyependa malingo malingo ndio mwanzo wa kuumia. Waache wanawake wenzio wasioringa wale vitu adimu.Hiyo haina uthibitisho hata silizungumzii mi nazungumzia udhaifu wa wanaume weupe, mambo ya watoto watatokaje liko nje ya uwezo wangu
Sawa mwanaume mweupe hahahaha nimewapatia leo wanaume weupe!!! Seriously, hamshtuiShida ni kuwa nyie wanawake wazuri wazuri mnalinga sana kivumbi ni ukutane na mwanaume mweupe asiyependa malingo malingo ndio mwanzo wa kuumia. Waache wanawake wenzio wasioringa wale vitu adimu.
Utajiju. Unahitaji ushauri. Nitafute.Sawa mwanaume mweupe hahahaha nimewapatia leo wanaume weupe!!! Seriously, hamshtui
Utajiju. Unahitaji ushauri. Nitafute.
Unatuaibisha sisi wanaume weupe aiseeeUtajiju. Unahitaji ushauri. Nitafute.