Sifa za wanaume weupe

yaani kati ya vitu sipendi ni kuitwa white japo mweupe....ukitaka hata nisikujibu niite white

ufala sana
 
Wanaume weupe hugombania vipodozi na dada zao
 
Kusema ukweli hawa ndio wanaume wanaobeba sifa za wale wa naume wa dar. Ni weupe.

1,wanapend kuvaa bukta, na malapa meupe kwamba wanataka ku relax hawa wenzetu.

2,hutembea kana kwamba wamechomwa miba katka uvungu wa nyayo zao, huku mikono ikitanuliwa kidogo.

3,hawatoi gari parking mpaka awepo mtu wa kumuongoza nyuma, la sivyo anagonga.

4,hawapendi simu zingine zaidi ya iphones hasa nyeupe.

5,mara nyingi huwa wanatafuna big g


6,hupenda kuongea au kuchart na simu wakiwa wanatembe
.

7,ukimsimamisha,lazima aitizame screen ya simu yake kwanza huku anakusikiliza


 
Wewe unataka tu kunivuruga,, usipende kuwasema wanaume weusi yaan utaniudhi kabisa hahahahaha
 
Mwansume ajisifiaye weupe ana gene za kike.
 
Mie wananiboa kwenye unyanya nyanya jaman...khaa..wee kibulb kikipasuka ashakimbilia nje...akichomwa ka mwiba shoga utasumbuliwa ww.....week zima mwekundu
...acheni hizo
Hahahahahahah yaan nimecheka jamani

Aisee sijawahi vutiwa na mwanaume mweupe hata kwa bahati mbaya
 
Ha ha haaaa
 
mkorinto umeua jombii, wanazingua sana hao machalii, yaan Huyo umwambie asogeze hata gunia la mpunga kweli, unaweza mzaba hata kibao πŸ˜€πŸ˜€
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…