Sifa za wanafunzi kulingana na vyuo

chuo n chuo tuuuuuu,,,hata kama ningesoma teku..teh teh

of coz lazmaaa ufe na njaa kwa nn ulienda soma kazi za kike... ungesoma kitu cha bvm md engnrn kwa nn ufe njaa....
 

wewe ndo kichwa cha CBE
 
of coz lazmaaa ufe na njaa kwa nn ulienda soma kazi za kike... ungesoma kitu cha bvm md engnrn kwa nn ufe njaa....

kama ipo ipo tuuuuuu Ze Dudu...wala stakufa kwa njaaaa.ntakomaa ivo ivo..wote tungeenda hko watoto wako nan angewafundshaaaa..?nan angekua mhasbuuuu?jpangeeeeee


......"""KAMA N CHANGU,NTAPATAAAAAAAAAAA"""......
 
Vyuo Vyote Vinakubalika Ndio Sababu Umoja Wa Vyuo Vikuu Wanavisajili. Embu Acheni Dharau
 

your in remember
 
jamani mbona watu wamepanic, kiruuuu!! i can bet hii post inaukweli ndani yake mapovu hayawezi watoka watu this much#
 

ahaaa!kumbe ulisoma udsm??? huna budi kukisifia kwani ndicho unachokijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…