Sifa za wanafunzi kulingana na vyuo

teh! teh! teh! tu ngojeane baada ya 4 years ndo tuzungumze kisomi zaidi
 
Huu ni mtazamo tu wanajamvi msijenge chuki,.. Mkuu vipi KIU?
 
hii forum siku izi imeingiliwa........yaani imejaa ***** mambo ya facebook zao wanaleta apa......forum imekaa kibongofleva.....mtu unaenda internet cafe(maana huna modem wala computer) badala ya kuutumia muda wako vizuri unakaa kupost ushabiki mandazi......
 
St.Joseph real and future engineers of Tanzania and abroad. Nawakilisha wakuu wa hili janvi
inategemea unasemea ma engineer gan, ila kwenye sekta ya kilimo bado wachanga!! huku kwingine kama ujenzi na technology mi binafsi sina cha kubisha...wako poa hasa kwa baadae!!!!
 
usijifanye wewe ni great thinker huna jipya we kama huna cha kuongea ni bora ukakaa kimya kuliko kuleta majungu yako Hapa !! Bila shaka wewe ni wa cbe dar
 
Hii mada inapoenda sio pazur...maana kuna watu wanaona ni uzalilishaji na pia ni matusi yametumika kwa njia moja au nyingine.Kiustaharabu afadhali tuache kuchangia kwa kukejeliana.
 
usijifanye wewe ni great thinker huna jipya we kama huna cha kuongea ni bora ukakaa kimya kuliko kuleta majungu yako Hapa !! Bila shaka wewe ni wa cbe dar

ujumbe umekufikia.....if u don want tobe called a child grow up..........usidhani chuo au elimu utakayoipata itagarantii ubora w amaisha yako..........sahau..wapo watu wamesoma ivyo unavyoona ni vyuo uchwara na ndo wanarun this town.......ww na chuo chako na GPA yako ya 4 unakufa njaa mjini....kalagabaho
 
Hii mada inapoenda sio pazur...maana kuna watu wanaona ni uzalilishaji na pia ni matusi yametumika kwa njia moja au nyingine.Kiustaharabu afadhali tuache kuchangia kwa kukejeliana.

safi sana Mkuu !! Mawazo Yako nimeyakubali na Yameenda Shule " sasa wana Jf hauitaji matusi cha msingi changia mawazo Yenye busara ili kuepuka Majungu na Chuki
 
Hongera mkuu nasikia wewe unaenda Havard
 
Hongera mkuu nasikia wewe unaenda Havard
 
Embu nambie Haya mambo Ya GPA yametokea Wapi? MKUU naomba usi panic kwa sababu nishakuona wewe ni legelege ka mama mjamzito ni mtazamo tu usijenge chuki mkuu
 
Nyinyi vijana bora muanze tu hivyo vyuo mpigwe Supp tupumzike kidogo,maana kila siku ni kujishaua tu humu jamvini hatusikii kingine! Kizazi cha dot com mnasumbua sana aisee!!
 
Embu nambie Haya mambo Ya GPA yametokea Wapi? MKUU naomba usi panic kwa sababu nishakuona wewe ni legelege ka mama mjamzito ni mtazamo tu usijenge chuki mkuu

mi siwez kupanic kwa mambo ya watoto wa shule.......mi huko nilishatoka zamani sana..nakupa ushauri utakaokusaidia ktk maisha yako...achana na ushabiki wa kupuuzi.
 
mi siwez kupanic kwa mambo ya watoto wa shule.......mi huko nilishatoka zamani sana..nakupa ushauri utakaokusaidia ktk maisha yako...achana na ushabiki wa kupuuzi.

Ushauri gani !! Ulioutoa zaidi ya majungu itakuwa pouwa sana kama uki mind Your Own Bussness watu mnajifanya ma great thnker huku mmeajiriwa huna jipya tena huu ni muda wa kazi afu unakaa unapost upumbavu wako humu ndani? Fanya kazi kijana
 
Hata degree huna,kazi kutumia masaburi kufikiri,mshexxxxxx sana ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…