ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 5,360
- 12,765
Au hakua na hela mkuu ndio maana uko hai mpaka leo?Siyo kweli . Ni uongo huu nimezaa na mmachame alikuwa mtu mwema san
Au hakua na hela mkuu ndio maana uko hai mpaka leo?Siyo kweli . Ni uongo huu nimezaa na mmachame alikuwa mtu mwema san
Hapo ndipo mawazo yako yanapoishia?hapendi mkuyenge?
Kwa uzuriiNiko naye mmoja hapa. Wanasema ni wa Masama si wote 😂😂😂
Hamna, rafiki yangu wa Masaki tangu utoto tu.Kwa uzurii
Hilo cheko litoleee maelezooooo😁😁
Hapo sawa😁Hamna, rafiki yangu wa Masaki tangu utoto tu.
1.wajeuri 2.wajuaji 3.warembo mno 4.wanapiga waume zao 5.hawana upendo 6.hawana heshima 7.wapambanaji 8.wanaua wanaume balaa 9.wabinafsi 10.wanapenda hela mno
Mbona Mimi Kuna mrombo mmoja kanielewa sana au Huwa napiga show za kibabe kama Muhammad AliKuna rafik angu mmachame..
Ni mjeuri +++.
Ila ukiwa na hela kidogo kuna kaheshima anakuwa nacho juu yako.
Hii ni type ya wanawake ambao kuwa nae inatakiwa uwe na hela miaka yote.
Ukiteleza tu anakuona bwege na anakuacha.
Hakuna msamiati wa kuvumiliana kwa Wamachame au mwanamke wa Kichaga.
Hasa wale wa Rombo na Marangu.
Hawawagi na wapenz mafala.Mbona Mimi Kuna mrombo mmoja kanielewa sana au Huwa napiga show za kibabe kama Muhammad Ali
Mdada ni ana duka lake hapa town la mahitaji ya nyumbani ni single mother mtoto yupo darasa la nne analea mwenyeweHawawagi na wapenz mafala.
Ukiona hivyo ww ni mjanja na kaelewa pigo zako.
Hawaendagi Kibra kibwege.
Hawana vinembe,1.wajeuri 2.wajuaji 3.warembo mno 4.wanapiga waume zao 5.hawana upendo 6.hawana heshima 7.wapambanaji 8.wanaua wanaume balaa 9.wabinafsi 10.wanapenda hela mno
Mdada ni ana duka lake hapa town la mahitaji ya nyumbani ni single mother mtoto yupo darasa la nne analea mwenyewe
Labda u docta ulimvutia Huwa simpi pesa hata akiomba nampaga mara chache chache... Issue za afya Mimi ndio kimbilio sometimes dawa za familia na items zingine zingine za afya na familia Yao Mimi nakua kimbilio
Labda icho ila anaroho nzuriii na anajua Mimi ni mume wa mtu anaweza asinitafute MWEZI Mimi pia the same ila tuna elewana sanaa sasnaaa
Utetezi wao mara kadhaa ht kama wanatokea Machame katikati huwa wanasema wao ni Wamasama au Wasanya juu sio wamachame...but in reality ni haohao...I met three of them wakisema hivyoNiko naye mmoja hapa. Wanasema ni wa Masama si wote 😂😂😂
Kuna upendo hunionyesha mpaka nikashangaaKabisa Dr. Ww ni mjanja wake.
Heshima debe lazima awe nayo.
Na hawezi kukupoteza.
Wanaitaga udugu wa faida. Ndio huo.
Lakini ukabila una nguvu gani?Utetezi wao mara kadhaa ht kama wanatokea Machame katikati huwa wanasema wao ni Wamasama au Wasanya juu sio wamachame...but in reality ni haohao...I met three of them wakisema hivyo
BloodlineLakini ukabila una nguvu gani?
Mtu kakaa Marekani miaka 30, kasoma huku tangu ana miaka 18, na kabla ya hapo kazaliwa Masaki Dar, anaijua dunia.
Bado unamfunga kwenye u Machame tu?
Siti ya mbele1.wajeuri 2.wajuaji 3.warembo mno 4.wanapiga waume zao 5.hawana upendo 6.hawana heshima 7.wapambanaji 8.wanaua wanaume balaa 9.wabinafsi 10.wanapenda hela mno
inamaana huchakati?Hapo ndipo mawazo yako yanapoishia?