Msaada kwa aliyekuepo huko maana naenda kusoma huko pia kuna machangu? Tafadhali sana!
Tarime ni kubwa na kila eneo lina tabia tofauti na lingine. Fafanua unakuja kusoma shule gani - Tarime Sec,Magoto, Inchugu, Mwema, Nkende, Mogabiri, Nyamongo, Nyansincha, Masanga, Nyabigena, Nyamwaga, Muriba. Kumbuka kuwa hizi shule haziko karibu, ni mwendo wa kutembea siku nzima kwa kutumia Michomoko.
tarime sec
Msaada kwa aliyekuepo huko maana naenda kusoma huko pia kuna machangu? Tafadhali sana!
Bishanga, HorsePower, Heaven on earth, grafani11, Blaine; gfsonwin hebu angalieni kizazi cha Mulugo hiki halafu mniambie kama kuna aliyebaki salama na mniambie kama atakuja na flying colour au atalate nini huko anakoendatarime sec
Msaada kwa aliyekuepo huko maana naenda kusoma huko pia kuna machangu? Tafadhali sana!
kwa jinsi alivyoandika, inaashiria anataka machangu wawepo. anyways watapunguziwa pass mark ili 'wafaulu'Bishanga, HorsePower, Heaven on earth, grafani11, Blaine; gfsonwin hebu angalieni kizazi cha Mulugo hiki halafu mniambie kama kuna aliyebaki salama na mniambie kama atakuja na flying colour au atalate nini huko anakoenda
Bishanga, HorsePower, Heaven on earth, grafani11, Blaine; gfsonwin hebu angalieni kizazi cha Mulugo hiki halafu mniambie kama kuna aliyebaki salama na mniambie kama atakuja na flying colour au atalate nini huko anakoenda