Sifa za TARIME ni zipi?

Sifa za TARIME ni zipi?

nitakomaa nao si unajua kazi na dawa

Ni kweli yote hayo niliyokueleza yapo huku, lakini lengo langu lilikuwa ni kupima dhamira yako kama kama kweli umedhamiria katika kusaka machangu, sasa nikuambie kitu, kutokana na kuwepo na madini katika eneo hili, hali ya maambukizi ya UKIMWI iko juu sana ingawa kutokana na hali ya hewa na lishe bora iliyopo inachukua muda kuonekana. Hao unaowaulizia utawaona ni warembo, lakini kwisha kabisa, na ukiupata huku utakaa nao na afya nzuri ila siku ukibadilisha tu mazingira, lazima tutakuimbia ......Niagieni.........Kwa tabia zako hizo za kutaka machangu kwa udi na uvumba, ukifika huku usi-nipm, mimi nimejichukulia Mke Mzuri, Mweusi kutoka Shirati.
 
Mzimu wa ndalichako bado unasumbua wengi daa huyu dogo alifaulu kihalali kweli?? Kweli namkumbuka SNURA MUSHI majangaaa..
 
Kuchomana visu, kupigana mapanga, kuchomana mishale, uvutaji bangi na mirungi, kuua wake/wanawake, kuibiana mifugo, ubishi usio na sababu.

Hv vipo kila kona Tz nenda Kagera uone hiyo bangi jijini Dsm inavutwa Kama sigara mishare hata mtwara ipo Ubishi hata mwanza shinyanga upo tena Hakuna kabra wabishi Kama Wanyantuzu hao wanabishana na tv au Radio acha hizo vigezo vyako vimeashiria c sehemu salama pa kuishi wakati si kweli Tarime ni pa kawaida Kama wilaya zingine
 
Ni kweli uyasemayo ila kwa Tarime hayo niliyoyataja ni kama fasheni....yaani ni jambo la kawaida sana kuona mtu anampiga mkewe au hata kumuua, watu kuchomana visu, na kulima bangi ekari kwa ekari na kuvuta kama hawana akili timamu. I lived there, why nidanganye?
 
njoo kwa ajili ya shule na kula ndizi sio kuja kutafuta kina ghati utaaambulia ngeo na vile pinda karuhusu kuchukua sheria mkononi, utajaza mwenyewe
 
Back
Top Bottom