Ahaa, Tarime Sec. Karibu sana, shule yangu hiyo. Nilikuja shule kama wewe, nikapata ajira huku huku. Ukifika ni-pm nikuonyeshe mazingira. Ni shule nzuri iko mjini, utakula matunda ya kila aina, iko karibu na Chuo Cha Ualimu Tarime, week'nd utakuwa unaenda kuosha macho Sirari/Isebania, unaweza kwenda hata Migori, Kenya. Tabia za watu wa huku ni wapole kabla hujawachokoza, ukiwachokoza lazima damu ikutoke, mara nyingi wanakuwa na mapanga yaliyonolewa pande zote, unaweza kumwona mtu amevaa koti zuri tu kumbe ndani ana panga/sime/kisu. Mtu wa huku akichomoa kisu/panga/sime hawezi kuirudisha bila kujeruhi, akisema anakupiga ujue tayari ameishakupiga, na hasa wewe ambaye unaulizia machangu, utatakiwa kuepukanana na wake za watu. Huku machangu wapo hasa wanaotoka mgodini (Nyamongo), wako juu kwa sababu ya madini, ni hatari kudeal nao maana kuna watu wanaweza kuwa wamewekeza hapo, sasa wewe Mwanafunzi utaweza wapi na pesa ya kupewa na Mzazi.
hah hah hah...hapo chacha ajiongeze..amebakiwa na wasichana wasiokuwa na mume na wazazi.Jiandae kukutana na hii jamaa pia:
Ustembee na mke wa mtu,
ustembee na mtoto wa mtu!
La sivyo utarudi kwenyu katika box
View attachment 106148
Mkuu Mr. Rocky umenikumbusha ule usemi wenye swali aliowahi kutoa Mheshimiwa Alhaji Ally Hassan Mwinyi Rais wetu mstaafu, "ukiwa unaoga bafuni halafu kwa bahati mbaya akapita kichaa akazitoa mlangoni nguo zako na kukimbia nazo, na mwenye mali nawe ukatoka mbio kumfukuza. Watazamaji barabarani wakiangalia watasema nani ni kichaa zaidi?".Bishanga, HorsePower, Heaven on earth, grafani11, Blaine; gfsonwin hebu angalieni kizazi cha Mulugo hiki halafu mniambie kama kuna aliyebaki salama na mniambie kama atakuja na flying colour au atalate nini huko anakoenda
Na bado akifeli atasema NECTA imetunga mtihani mgumu. Au pengine anajivunia grade mpya za Kawambwa na ndugu yake Mlugo zitamvusha.Mkuu grafani11 nimeona hiyo ila mi nimeamua kujilipua na kwa taarifa yake anasisistiza kuwa atakomaa nao sijui tutegemee nini kama kwa umri wa Secondary anaanza kutafuta machangu akifika chuo sijui ndo atakuwa analala Buguruni au tandale uwanja wa fisi
Na bado akifeli atasema NECTA imetunga mtihani mgumu. Au pengine anajivunia grade mpya za Kawambwa na ndugu yake Mlugo zitamvusha.
Mkuu Rocky huyo dada sijui kwanini nimeukubali wimbo wake sana na tofauti na hobi zangu za miziki ya Bakulutu na wazee sugu.
Ni kweli mkuu Rocky, enzi zetu tulipokuwa tunaanza aidha kidato cha kwanza au cha tano, kitu cha kwanza ni kutafuta kwa nguvu zote urafiki na mtu aliyekuzidi kidato ambaye kichwani kuna vitu ili akuachie materials/notsi.Same to me here grafani11 nimeukubali sana ule wimbo wa huyo mwanadada japo sina hobby sana na nyimbo hizo ila kiasi ameongelea majanga tuliyo nayo kama kijana wa secondary anaulizia machangu badala ya kuulizia ni wapi nitapata material za kutosha au vitabu vya kutosha au sehem gani kuna mtandao wa wanafunzi wanaojisomea ni majanga
Ni kweli mkuu Rocky, enzi zetu tulipokuwa tunaanza aidha kidato cha kwanza au cha tano, kitu cha kwanza ni kutafuta kwa nguvu zote urafiki na mtu aliyekuzidi kidato ambaye kichwani kuna vitu ili akuachie materials/notsi.
Vijana wetu wa siku hizi kitu cha kwanza ni kuulizia mademu kama wapo wa kutosha, tutafika kweli na haya majanga!! Kweli Snura aliona mbali...
Ni kweli kabisa mkuu hakuna njia ya mkato kufikia mafanikio bila kumtanguliza Mungu kwanza.Mkuu grafani11 kama una familia wafundishe zaidi njia ya Mungu na kumtegemea Mungu hatafikia sehem ya kuuliza machangu kabla hajauliza suala lililompeleka shule
Ni kweli kabisa mkuu hakuna njia ya mkato kufikia mafanikio bila kumtanguliza Mungu kwanza.
Hao vijana ukifuatilia historia yao unaweza kubaini hata wazazi wao ni walewale akishalipa ada ndio amemaliza majukumu yake tuonane kwenye ripoti ya muhula hata daftari la mtoto hajui limekaaje..
Msaada kwa aliyekuepo huko maana naenda kusoma huko pia kuna machangu? Tafadhali sana!
aisee Mr Rocky umetoa maneno ya hekima sana,asipobadili akaachana na habari za machangu,ategemee ziro na ukimwi juuSame to me here grafani11 nimeukubali sana ule wimbo wa huyo mwanadada japo sina hobby sana na nyimbo hizo ila kiasi ameongelea majanga tuliyo nayo kama kijana wa secondary anaulizia machangu badala ya kuulizia ni wapi nitapata material za kutosha au vitabu vya kutosha au sehem gani kuna mtandao wa wanafunzi wanaojisomea ni majanga
ila ni aina ya vijana tulio nao mkuu ambao wanaenda kujiunga na secondary wanalowaza ndio hilo mkuu