Sifa za "SMART PHONE"

nilimaaanisha hivi, kama simu yako ikiita ikiwa juu ya meza ukiishika ukaingeuza( mbele nyuma) itaendelea kuita lakini katika silent mode yaani bila sauti
 
S40 zinafanya hivo mkuu lakini sio smartphone na sku hizi kuna web app ndio kabsaa kila simu inafanya.

ni one of the features maana hakuna clear defn ya smart phone bali kuna list 2 ya features sim inatakuwa kuwa nazo ili iitwe smart and this is one of em zingine ni kama mdau juu hapo alivosema like smart OS etc.
 
leh Kang vp kuhusu upande wa processor & ram ni sifa pia?. Je cm kama Siemens c25 haina kabisa procesa na ram?

Sidhani kama inawezekana isiwe na processor au ram, sema ni specialized sana kwa ajili ya kuonyesha menu na kupiga simu tu, sio general porpose processor ambayo inaweza kurun random apps.
 
Yah asha qwerty sio smartphone

Ndo hapo unapoona kuwa ni uamuzi tu nini unakiita smartphone kwanini Asha 302 sio smartphone?
Apps
3G
Wifi
Push Email
1Ghz Processor
etc

Kama touch ni kigezo cha kuwa smartphone maana yake most Blackberries sio smartphones kitu ambacho wote tunajua sio sawa.
 
Mkuu ndo kule mwanzo nliposema kigezo kikubwa wanachoangalia ni kuacha code za os yako open developer wafanye mambo yao that is a smartphone.

maana hata neno lenyewe smartphone alilianzisha nokia alivoanza kutoa symbian devices ilipokuja android na ios wakakubaliana wataendelea kutumia neno hilo hilo so labda tuchukue idea ya nokia ya smartphone then tuzishushe

1)iwe ina minimise na kufanaya task zaidi ya moja kwa mpigo

2) iwe ina operating system inayojulikana mfano android au windows phone

3) iwe ni part ya ecosystem

4) iwe na app nyingi na hizo app kuwe na uwezo wa kuzipata. Mfano kuwe na store kama google play store, ovi au zune

5)iwe flexible kwa kufanya mambo mengi ndani ya device moja mfano kuplay multmedia kucheza games na kuangalia ramani

6) kama alivosema good guy iweze kuprocess offices mamboz kama word, excell, pdf

7) iwe na muendelezo sio ukinunua ndio basi hupati updates, mfano unanunua ipad ina ios5 then una update kwenda ios6 au simu ina android 2.3 una update kwenda jelly bean 4.1

8)screen yake isizidi nchi 5. Ikifika 5 itakua phablet na 7 ni tablet hazitaitwa smartphone (inaweza kuchange)

9)isisuport aina moja tu ya mawasiliano yani call zakawaida bali imuwezesha mtu kufanya mawasiliano kwa internet, push mail, video call na vifananiavyo

10) iwe inauwezo wa kuwasiliana na device zengine mfano port za computer, waya wa tv na vitu kama bluetooth

11) iwe na uwezo wa kustore vitu mfano memory kwa ajili ya video na mizki interm of mb's na gb's

12) wadau endeleeni
 
duu kama kuupdate ndio kigezo basi WMobile yangu ingekubali kutoka WM 6.1 kwenda 7 maana hadi nilishachoka kuupdate kutokana na error kibao..

Back to Topic ila ni smartphone maana ni window mobile..
 
Haina maana lazma smartphone iwe nafeature zote hizo nime quote statement siku asha zinakua anounced kama smartphone

The new devices offer a fluid ‘swipe’
user interface and an open environment
for third-party app development – characteristics that have earned the
complete Asha Touch range full
smartphone classification from global
market research companies and
analysts such as GfK and IDC.

So angalia mwenyewe
 
Mkuu ndo kule mwanzo nliposema kigezo kikubwa wanachoangalia ni kuacha code za os yako open developer wafanye mambo yao that is a smartphone.

maana hata neno lenyewe smartphone alilianzisha nokia alivoanza kutoa symbian devices ilipokuja android na ios wakakubaliana wataendelea kutumia neno hilo hilo so labda tuchukue idea ya nokia ya smartphone then tuzishushe

1)iwe ina minimise na kufanaya task zaidi ya moja kwa mpigo

2) iwe ina operating system inayojulikana mfano android au windows phone

3) iwe ni part ya ecosystem

4) iwe na app nyingi na hizo app kuwe na uwezo wa kuzipata. Mfano kuwe na store kama google play store, ovi au zune

5)iwe flexible kwa kufanya mambo mengi ndani ya device moja mfano kuplay multmedia kucheza games na kuangalia ramani

6) kama alivosema good guy iweze kuprocess offices mamboz kama word, excell, pdf

7) iwe na muendelezo sio ukinunua ndio basi hupati updates, mfano unanunua ipad ina ios5 then una update kwenda ios6 au simu ina android 2.3 una update kwenda jelly bean 4.1

8)screen yake isizidi nchi 5. Ikifika 5 itakua phablet na 7 ni tablet hazitaitwa smartphone (inaweza kuchange)

9)isisuport aina moja tu ya mawasiliano yani call zakawaida bali imuwezesha mtu kufanya mawasiliano kwa internet, push mail, video call na vifananiavyo

10) iwe inauwezo wa kuwasiliana na device zengine mfano port za computer, waya wa tv na vitu kama bluetooth

11) iwe na uwezo wa kustore vitu mfano memory kwa ajili ya video na mizki interm of mb's na gb's

12) wadau endeleeni

Nokia hawakuinvent neno smartphone.
Kama nilivyosema hizo features ni arbitrary kabisa, iPhone haikuwa na uwezo wa multitasking hadi ilipofikia 4.0 unataka kusema haikuwa smartphone kabla ya hapo? Kwa wale wanaong'ang'ania simu iwe na true multitasking, true multitasking ni **** kwenye simu kwa sababu ya limit resources za ram/processing/battery lazima kuwe na njia ya kumanage apps automaticaly kama android au kulimit multitasking isiharibu experience ya mtumiaji.

Pia iPhone ilipolaunch haikuwa na app store, Windows Mobile na Blackberry hazikuwa na app store mpaka 2009.

Swala la kuweza kuedit document sikubaliani nalo kabisa, hilo ni swala la mtu kuandika app inayoweza kufanya hilo.
 
hivi hizi simu zinazoitwa asha zina uhuniano gani yule mtoto sijui anaitwa mwana-asha!!!

KHAAAAAAAAAAA
Wabongo noma: hazina mahusiano yoyote mkuu labda trick za kisiasa tu maana asha zinauzwa world wide sio tz tu
 
Nokia hawakuinvent neno smartphone.
Kama nilivyosema hizo features ni arbitrary kabisa, iPhone haikuwa na uwezo wa multitasking hadi ilipofikia 4.0 unataka kusema haikuwa smartphone kabla ya hapo? Kwa wale wanaong'ang'ania simu iwe na true multitasking, true multitasking ni **** kwenye simu kwa sababu ya limit resources za ram/processing/battery lazima kuwe na njia ya kumanage apps automaticaly kama android au kulimit multitasking isiharibu experience ya mtumiaji.

Pia iPhone ilipolaunch haikuwa na app store, Windows Mobile na Blackberry hazikuwa na app store mpaka 2009.

Swala la kuweza kuedit document sikubaliani nalo kabisa, hilo ni swala la mtu kuandika app inayoweza kufanya hilo.

Basi tukubaliane tu sifa ni moja hiyo hiyo
 
Asha inamaanisha Hope kwa kihindi, nadhani ndo ilikuwa original target market na kuna kiwanda huko.
 
Back
Top Bottom