Umekosea, 'raha ya mume muwe wanne'
Aisee, nyie si mna kamsemo kenu ka "raha ya mume muwe wawili"
Sasa sisi tufanyeje sasa
Hahaha ahsante swaiba kwa masahihisho, hivi hako kamsemo kanaukweli bibieUmekosea, 'raha ya mume muwe wanne'
Hahaha ahsante swaiba kwa masahihisho, hivi hako kamsemo kanaukweli bibie
mi mgeni bwana, sijui. Ngoja tusubiri wajuvi wa jambo hili.
Mwanaume wa kweli lazma uwe na madeni Saccos zote kubwa mjini.
NakaziaMwanaume wa kweli lazima umjue Mungu na Kuishi sawasawa na mapenzi yake...
Hahaha hamshindwi wanaume
Si umeona sasa, kumbe nilikua nimepunguza idadi, ngoja niongeze watatu kwa mpigo
Of course kamandalakini si kuna ukweli kiaina mkuu!?
Hahahaaa!! Mambo ya waziiiii kila kitu!! Hahahaaa!!haya bhana mzee wa usawa wa kulia....bure moja!
Ahahaha!! Yale maisha yanataka moyo sana.. Afu unakuta RSM mwenyewe la saba B..wakati Mimi nasoma yeye alikuwa anatembeza machungwa kule Muheza..then anakuja ananiita mjinga wewe na degree yangu..! Totally unfair.Hahahaaa!! Mambo ya waziiiii kila kitu!! Hahahaaa!!
( ...kombania nzima wote ni wajinga....waziiii....". )Waziiiiii
Ahahaha!! Yale maisha yanataka moyo sana.. Afu unakuta RSM mwenyewe la saba B..wakati Mimi nasoma yeye alikuwa anatembeza machungwa kule Muheza..then anakuja ananiita mjinga wewe na degree yangu..! Totally unfair.
Wana masimango sana maregimental sir major...kuna mmoja alikuwa anasema nisimsumbue na degree yangu ya nyuki...Ahahaha!
Wakati nimemaliza advance nilienda jkt then nikapata post ya Polisi nikaenda CCP nikaenya kabla sijamaliza kozi ukatokea msala usiku tulitoroka tukaenda disco tukakamatwa na Cpl Benson tukapelekwa MPS tukafukuzwa mafunzo wote, tutarudije home sasa kirahisi na tutasemaje tukarudi kikosini kwetu JKT...ajabu tukapokelewa tukaendelea kuhenya soon zikatoka post za TPDF tukafanya usahili tukatoboa tukahenya Makutupola hadi mwisho tukala kivazi cha tipidanga then after 7 years nikatemana na majeshi kunoga, sasa hivi ni RAIA mwema pekee anaejua kupush kifaru.
Akili zao washaukabidhi mwenge wa kwenye barret zikaungua, hawana huruma na nanga yeyote,
Usilolipenda wewe wao ndo la maana. Hao ndo wapiganaji mjomba
Kipindi hicho Makutupola bado RTS,Wakati nimemaliza advance nilienda jkt then nikapata post ya Polisi nikaenda CCP nikaenya kabla sijamaliza kozi ukatokea msala usiku tulitoroka tukaenda disco tukakamatwa na Cpl Benson tukapelekwa MPS tukafukuzwa mafunzo wote, tutarudije home sasa kirahisi na tutasemaje tukarudi kikosini kwetu JKT...ajabu tukapokelewa tukaendelea kuhenya soon zikatoka post za TPDF tukafanya usahili tukatoboa tukahenya Makutupola hadi mwisho tukala kivazi cha tipidanga then after 7 years nikatemana na majeshi kunoga.
But Mimi ndio kuruta wa kwanza Bongo kula kozi mbili za umwela na ujeda.
Them good old days.
Ulikuwa kikosi gani baada ya kumaliza rts makutu?Wakati nimemaliza advance nilienda jkt then nikapata post ya Polisi nikaenda CCP nikaenya kabla sijamaliza kozi ukatokea msala usiku tulitoroka tukaenda disco tukakamatwa na Cpl Benson tukapelekwa MPS tukafukuzwa mafunzo wote, tutarudije home sasa kirahisi na tutasemaje tukarudi kikosini kwetu JKT...ajabu tukapokelewa tukaendelea kuhenya soon zikatoka post za TPDF tukafanya usahili tukatoboa tukahenya Makutupola hadi mwisho tukala kivazi cha tipidanga then after 7 years nikatemana na majeshi kunoga, sasa hivi ni RAIA mwema pekee anaejua kupush kifaru.
But Mimi ndio kuruta wa kwanza Bongo kula kozi mbili za umwela na ujeda.
Them good old days.