Sifa za mwanume wa kweli

Dah... Hata akiwa na sifa zote hizo....kama haishi Dar...ni sifuri...
 
Pole sana
 
Haya na Mwanamke wa kweli tuambie
 
Hahahaha jaman why mnakua hivo
Umuombe msamaha si ndio mwanzo wa mke kukuona kilaza. Hamjaumbwa kuwa treated fairly otherwise ni kirambasi.

Mie ex wangu flani nilimtreat fairly na kumpa nafasi sana sikuwa selfish. Mwishowe nikaanza kushangaa naambiwa we huwezi kujisimamia kila nachotaka mimi ndio tu. Ila hapo nikiamua vitu kivyangu anakuwa mtu wa criticizing kinoma noma. Malalamishi kibao.
 
Biblia takatifu inasema, Mwanaume na amuzidi mwanamke kwa kila jambo.
Pia Biblia takatifu inasema, Wanawake ni viumbe dhaifu na mwishi nao kwa akili.
Kibaologia mwanume amepewa viungo imara kuliko mwanamke na pia ana ujasiri kuliko wa mwanamke.
Hata hivyo kuna wanawake wachache ambao wana genes za kiume kwa sababu wanaota ndevu, sauti kubwa , misuli mikubwa , ujasiri n.k.
Kuwa na sifa nyingi na za hali ya juu kwa mwanaume au mwanamke ni karama za kuzaliwa nazo. huwezi kulazimisha karama, ila unatakiwa ujitambue kuwa una karama gani na uzitumie na kuziboresha ili ziwe na manufaa.
 
Hahha sasa tunatofautiana, kwanza ujue uko na mwanamke wa aina gani, kuna baadhi ya sisi ke tuko loyal na honest sana kwenu, hatusthili hayo mambo, mfanyie mtu unayeona huna mipango naye, mimi kwa upande wangu nilikua nikiona nimefanya any mistake najirud tena bas et na yeye kutaka ile sifa naweza kumuomba msamaha kuanzia usiku wa kuanzia leo hsd kesho jioni na bado asikujibu amekusamehe sometimes najiuliza kwa kosa gani bas na hapo ukute yeye ndio chanzo cha hilo kosa

Me naona mtu anapona amekosea ndio mana kukawa na neno samahani, hakuna neno la kuomba masamaha jengine zaidi ya hilo, kusema nisamehe nimekosea unapungukiwa nn sasa ikiwa msamaha huombi mtakua mnaishije humo ndani? Ujue mahusiano au ndoa zinazodumu hilo neno limetumika sana, sote tunastahili endapo pale inatokea mmoja wetu ameenda kinyume
 
Mwanaume wa ukweli anafanya kazi iliyo halali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…