Sifa za mwanamke wa Kirombo

Mke si kabila bali ni mtu(ke) kama watu wengine ambaye hivyo anaweza kuwa na tabia nzuri ama mbaya kulingana na makuzi, mtizamo, mazingira na wakati mwingine asili japo siyo saana.

Kwa wanawake ninaowafahamu wa kirombo ni watulivu, wavumilivu sana ktk shida, wapole, wachapakazi, humwamini mume, wakishika dini hushika kweli, hawana makuu, si vigeugeu (akikupenda tajiri hata ukifirisika bado utakuwa naye).

Hawapo smart sana kwenye kufikiri, wakati mwingine wanaweza pelekeshwa, wengine ni wagumu kutoa penzi na wengine ni wepesi kutoa, wakati mwingine wakipenda huwa hawaambiliki.

Mpendwa hayo maelezo ni kutokana na uzoefu wangu kutokana kwa wale ninaowafahamu japo inaweza isijumuishe wanawake wote wa kirombo. Chamsingi ni wewe kuchagua ambaye ataendana na wewe hasa kwa kumshirikisha Mungu mwenye enzi.
 
Jamani mtu kama anataka kuoa oa 2.mana mke mwema anatoka kwa mungu usianze kutafuta tabia za ujumla we umeona anakufaa kwa upande wako oa mana kila kizuri kina ubaya wake na kila kibaya kina uzuri wake. So we angalia unapenda nini .thanx it nakukaribisha sana kilimanjaro in general tunapenda sana kazi so tarajia kuendelea.
 
akilimalii_6c882.jpg
wanaogopa wazee
 
Back
Top Bottom