Uko sahihi kabisa wanawake nao tunajisahau kabisa tunadhani tako ndio kila kitu na tunasahau kuwa ukiwa mtupu kichwani huna thamani hata kama uta contena nyuma.
Mm siwez sema kweli maana ni mwanamke ila mm nikimuuliza Mr alichonipendea anataja vitu tafauti na ulivyotaja na ndio maana nikasema kila mtu ana jicho lake.
Mwanamke mzr akiwa uchi tu.
sasa kuna faida gani ya mwanamke kuwa mzuri akiwa na nguo,
Atapendeza vzr na kuvutia kwenye nguo aliyovaa.
Lakini akivua nguo ni takataka tupu..
Duh kwahiyo bila hivo vitu huvutii? Basi sawa ila kuna wanaompendea mtu kucha tu au smile,so mvuto inategemea na mtu mwenyewe anavutiwa na nini, hainaga formula