Sifa za mwanamke makini hasa ndani ya ndoa

Kumpata mwenye sifa angalau 10 au 7 kati hizo kwa mama dada zetu unaweza kutafuta kote aiseeee
 
Na kumpata mwanaume anayedeserve hata sifa 5 hapo unaweza ukatafuta hadi unakufa humpati.
 
Hahahahahaha......kwahiyo bila bila dada kweli mapenzi ya siku hizi maigizo halafu tunawacheka bongo movie
 
Ndio hapo chacha, yaani ni majanga plus plus.

wewe acha tu dada bora nimeamua kujikaria zangu maana nilitaka kuoa bora nimeonyeshwa mapema hiyo ndoa sijui kama miezi miwili ingefika kweli
 
hakika umenikuna sana katika hili. ndoa nyingi zinasambaratika kwa kukosa haya. wanawake kwa mabinti hebu jifunzeni maana hata siku hizi kitchen part zimekuwa za viswahili vya pwani na misemo ya taarabu isiyojenga bali kubomoa ndoa zaidi.
 
Hapo kwenye kujifunza=kutengeneza maigizo ambayo yatuchukia miezi miwili na ndio mwisho wa ndoa ndio utakapofika
 
Namba 10 ikufikie Atoto Popote ulipo.... 8 na 18 zimeeleza Uhalisia Kwa Wale Wapenda Pesa Wakiongozwa na Atoto
 
Back
Top Bottom