Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
Huo mnuno wake ni balaa kwanza hata kuamka kumfungulia nisingeamka
Ivo viburi vyenu ndo vinasababisha kila cku muwe mnaachwa
Huo mnuno wake ni balaa kwanza hata kuamka kumfungulia nisingeamka
Uthenge huo...
Mmmh! How if usipogundua kabla ya ndoa? Jee akianza sasa?
Igi unajua kwanini nakuuliza?
Ivo viburi vyenu ndo vinasababisha kila cku muwe mnaachwa
Sio viburi ila nikutunziana heshima na mwanamke ukikubali hiyo hali kuanzia mwanzo lazima ujue milele utakuwa wa hivyo wakuijiwa saa 9 za usiku
Kwa hiyo je kama ulinikuta nna utaratibu huo na ukaukubali
Kwa aliyeukabali huo ujinga yeye aendelee nao ila mie ningeuvunja mchana kweupe
Utauvunja na gegedo labda halijakupata vizuri, lakin kama limekolea hizo tofauti wala hauzioni
Uthenge huo...
Uthenge huo...
Tena kiwango cha ujazz band.........
Hivi Mumeo (kama unae) anapiga kilaji?
Duuh, hatujafika kituo hicho bado. Huyu kafundwa
mie na mme wangu tunakunywa...why umeuliza