Sifa za members wa jamii forums

mkulu senkondo

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
1,295
2,000
1) karibia members wote walihama makwao kabla ya kutimiza miaka 25.
2) Kwa asilimia kubwa wanajiona wanao uwezo wa kuchambua kila kitu katika maisha; Uchumi, utamaduni, siasa, nk.
3) Wengi wanadai wana damu salama baada ya kupimwa UKIMWI.
4) Karibia wanachama wote wanadai wanayo magari ya kutembelea na nyumba nzuri.
5) Wanaonekana kwa kiasi fulani kutokuridhishwa na utawala uliopo.
6) Wanachama hawa wanadai wao wanao uzoefu wa hali ya juu sana kwenye kushiriki mapenzi; Ukiwaambia umewahi kudate mara 30 na watu tofauti tofauti watakwambia wewe bado mchanga sana kwenye hii tasnia.
7) Kijana mdogo wa secondary anaweza kumtukana/ kumtolea lugha isiyofaa professa/ mzazi wake.
8)______________
9)______________
10)______,,,,,,,,,, .
 

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
26,722
2,000
Kwanza nimeangalia umri wako wa kuishi humu jf.
Pili nikatazama umri wako wa kuzaliwa.
Tatu nikamalizia kwa kuangalia avatar yako.
Mwisho nikaamua ni nimwambie muhudumu aniongeze balimi tu, maana supu nishakuja
 

mkulu senkondo

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
1,295
2,000
Kwanza nimeangalia umri wako wa kuishi humu jf.
Pili nikatazama umri wako wa kuzaliwa.
Tatu nikamalizia kwa kuangalia avatar yako.
Mwisho nikaamua ni nimwambie muhudumu aniongeze balimi tu, maana supu nishakuja
Haya endelea kulewa mkuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom