Sifa za Mchumba(mwanamke) wa kuoa


Swala la age ni lamuhimu kuzingatia haswa kwa upande wa mwanaume ambaye anataka kuoa, umri hauangaliwi tu kwa ajili ya kuwahi kuzeeka la hasha, kuna matokeo mengine yatokanayo na jinsi gani mlivyo pishana umri, MFANO, nakumbuka nilivyo kuwa chuo kuna mahali nilisoma tafiti za watu mbalimbali zinazo onyesha mwanamke anauwezo wa kummudu mwanaume aliye mzidi zaidi ya miaka kumi kwa kila kitu, yaani ktk ukuaji, maamuzi, hekima, ujanja nk.
Ndo maana Mume anaweza kawa na 45 na mke 25 but maamuzi yote ya ndani mke akawa ndo mwamuzi wa mwisho na mume hafurukuti.
kwa hiyo kama wewe dume unajijua ni dhaifu ktk mambo mbalimbali mf mpole sana au una huruma sana ni bora uoe mke uliye mzidi miaka 10 ndo mtaishi kwa amani la ipo nyakati atakupelekapeleka ile mbaya. kama unabisha jaribu uone au fanya tafiti
 

Kuna wadada ambao wako decent sana, unakuta alikutana na boyfriend ambae yeye alijua ndio wataoana, akamtoa bikira, ikatokea wakaachana kwasababu ya tofauti ya dini, familia zimetofautiana nk. Dada huyu ameshadate wanaume wawili/watatu. Akiolewa anachance kubwa zakutulia.
Unaweza kumuoa mwanamke aliyepitia misukosuko kibao ya maisha, akishaolewa hao wa nje watamwambia kipi kigeni kwake?
 
mimi navyojua cha kuangalia ni dini, elim ajue 2 kusoma na kuandika,umri mwanaume vizur umzid mkeo, magonjwa ya kurith lazima uyatazame, pia tabia muhim saaana.
 


wewe ndio umeshapururuliwa, mtu ukiishi duniani unasikia na kushuhudia mengi. kwa hiyo mtu akiandika sio ndio kusema yupo hivyo jinsi ulivyoandika. wewe ndio dhsifu wa kufikiria na kwa kuwa unaweza kukaa na kumshutumu mtu usiyemjua.

ishi uone, sio kuishi unavyoishi. inaonyesha hauna umaana kwa ulichoandika una hasira sana na nyingi sababu unazijua wewe. pole sana as umekuja kunichagua mimi kutoa mahasira yako ya maisha humu kwa lugha yako chafu sana tena iliyojaa uchafu. badilika uache kuwa uliyosema mimi ndivyo.

jina lako tu ulilochagua kutumia humu linajibu wewe ukoja, pole nitakusalia yawe mema.
 
Hakuna yuniveso law
Haramu kwa mwenzio halali kwa mwingine.

Mbona Maria Carey na mumewe wanaishi japo Mariah mkubwa????

Kijana, cheza mziki unaoulewa mwenyewe, huolei ukoo, wazazi wala jamii yako, unajiolea mkeo wa kuishi naye wewe.
Grow up kid!
Well said
 
Kikubwa ni upendo olewa/oa uliempenda hizo sheria haziapply kila wakati wengine wanasifa zote lkn hujampenda na unaempenda hana sifa kama tatu toka kwenye hiyo list unajua ukipenda hata ukiitwa kwa ukali utaona ameita kwa sauti ya juu tu na akipika vibichi utasema ni sababu ya mgao wa umeme tu na mkeo ukimkuta kanuna utasema kachoka tu hapendi kuongea, hivyo basi upendo umezidi sifa zote. Hivi hujawahi ona kuna watu wanasifa njema sana lkn mume/mke hampendi kabisaa mpaka mnajiuliza sasa huyo anataka nini mbona mke/mume ana sifa zote kulikoni. To the best of my knowledge naona sifa ya upendo ipo juu kuliko zote na imeoverride sifa zote.
 
Haha dunia imechange sana hao wachumba hawadondoki toka mawinguni ni hawa hawa waliolelewa ktk jamii hii iliyopotoka so kutegea zeituni chini ya mjohoro is more than madness
 
kwa wanaume. Sikushauri sana kuoa mwanamke mkimia maana ni ngumu sana kujua ana GB ngapi ili na wewe uwe na RAM kiasi gani. Wengi waliojaribu wamejikuta wanaram 320MB wakati wadada wanaGB hadi 800. As a result mambo hayaendi, computer inakuwa inafungua file moja kwa saa nzima. So guys be careful.
 
1) Sifa na tabia njema (2) Lika na umli mnao lingana (3) Umfaham kwa mdamlefu (4) Maradhi ya kulisi (5) Imani moja (6) Anae kubalika pande zote (7) Aanae hudhuria ibada (8) Usafi wa kimwili naki roho (9) Apende ndugu wapande zote.

Mzee kifimbo cheza Nicas Mtei upo???
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi ni kitu cha ajabu na ni upofu pia, unaweza kutoa vigezo vyako vyote but ukaja fall kwa mtu ambaye hukutarajia.
 

Id yako sasa....
 
Ni kweli,mwanamke bikira,ana uwezo mkubwa wa kutulia na mwanaume mmoja kuliko yule alozoea ladha mbalimbali.

Kwa mimi naamini aliezungukaaa mwshoe utulia.coz haoni jpya tena kama yote keshayaona....shughuli bikra uliembikiri akakutana na manyang'au ya mjini mke huna.....nna vivid example kabsaaaa....
 
Kabla ya kuoa mwanaume yakupasa ujiweke ktk mazingira mazuri ya kuwa mme bora then mke bora ndio atakuja,ndoa ni maisha ya ushirikiano kati yako na mkeo,so fulful ur part.Don't concentrate in finding a gud wife insteady concentrate to make urself a gud husbund
 
 
 
sifa za mwanamke wa kuoa

1-awe BIKRA
2-awe BIKRA
3-awe BIKRA
4-awe BIKRA

tofauti na hapo utaoa mke wa mtu.
 
hivi wewe hujui matumizi ya lugha???cant you see the difference between l and r??
sorry hii comment yako imenifanya nikunje uso jitu zima linaingia humu halijui wapi aandike l au r wapi aandike a au h.🥁🥁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu hajui kiswahili wala kiingereza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…