Sifa za Mchumba(mwanamke) wa kuoa

Sifa za Mchumba(mwanamke) wa kuoa

Age: wanategemea heshima na kuchoka mapema kwa Ke, lakini leo hii naona kuna ndoa ambazo ni imara na kuheshimiana, ingawe Ke ana mzidi umri, na kuna ndoa kibao zimeshikiliwa na uzi wa tandu, huku Me akiwa na umri kuliko Ke, Swala la kuchoka inategemea na mazingira na aina ya maisha ya wahusika wenyewe.

Elimu: Ni elimu gani unayo maanisha hapo .

Swala la age ni lamuhimu kuzingatia haswa kwa upande wa mwanaume ambaye anataka kuoa, umri hauangaliwi tu kwa ajili ya kuwahi kuzeeka la hasha, kuna matokeo mengine yatokanayo na jinsi gani mlivyo pishana umri, MFANO, nakumbuka nilivyo kuwa chuo kuna mahali nilisoma tafiti za watu mbalimbali zinazo onyesha mwanamke anauwezo wa kummudu mwanaume aliye mzidi zaidi ya miaka kumi kwa kila kitu, yaani ktk ukuaji, maamuzi, hekima, ujanja nk.
Ndo maana Mume anaweza kawa na 45 na mke 25 but maamuzi yote ya ndani mke akawa ndo mwamuzi wa mwisho na mume hafurukuti.
kwa hiyo kama wewe dume unajijua ni dhaifu ktk mambo mbalimbali mf mpole sana au una huruma sana ni bora uoe mke uliye mzidi miaka 10 ndo mtaishi kwa amani la ipo nyakati atakupelekapeleka ile mbaya. kama unabisha jaribu uone au fanya tafiti
 
Kwa kuwa umeshapururuliwa na majidume bila mpangilio umewahi kukandia bikira kwa kuwa tu unaupaisha udhaifu wako. Bikiri si ugonjwa na nikukumbushe kuwa binti aliye mcha Mungu, anapoolewa akiwa na bikira basi anayo nafasi nzuri ya kujitunza na kuwa mwaminifu zaidi ya wewe uliyezoea kubanduliwa kila kichochoro.

Kuna wadada ambao wako decent sana, unakuta alikutana na boyfriend ambae yeye alijua ndio wataoana, akamtoa bikira, ikatokea wakaachana kwasababu ya tofauti ya dini, familia zimetofautiana nk. Dada huyu ameshadate wanaume wawili/watatu. Akiolewa anachance kubwa zakutulia.
Unaweza kumuoa mwanamke aliyepitia misukosuko kibao ya maisha, akishaolewa hao wa nje watamwambia kipi kigeni kwake?
 
mimi navyojua cha kuangalia ni dini, elim ajue 2 kusoma na kuandika,umri mwanaume vizur umzid mkeo, magonjwa ya kurith lazima uyatazame, pia tabia muhim saaana.
 
Kwa kuwa umeshapururuliwa na majidume bila mpangilio umewahi kukandia bikira kwa kuwa tu unaupaisha udhaifu wako. Bikiri si ugonjwa na nikukumbushe kuwa binti aliye mcha Mungu, anapoolewa akiwa na bikira basi anayo nafasi nzuri ya kujitunza na kuwa mwaminifu zaidi ya wewe uliyezoea kubanduliwa kila kichochoro.


wewe ndio umeshapururuliwa, mtu ukiishi duniani unasikia na kushuhudia mengi. kwa hiyo mtu akiandika sio ndio kusema yupo hivyo jinsi ulivyoandika. wewe ndio dhsifu wa kufikiria na kwa kuwa unaweza kukaa na kumshutumu mtu usiyemjua.

ishi uone, sio kuishi unavyoishi. inaonyesha hauna umaana kwa ulichoandika una hasira sana na nyingi sababu unazijua wewe. pole sana as umekuja kunichagua mimi kutoa mahasira yako ya maisha humu kwa lugha yako chafu sana tena iliyojaa uchafu. badilika uache kuwa uliyosema mimi ndivyo.

jina lako tu ulilochagua kutumia humu linajibu wewe ukoja, pole nitakusalia yawe mema.
 
Hakuna yuniveso law
Haramu kwa mwenzio halali kwa mwingine.

Mbona Maria Carey na mumewe wanaishi japo Mariah mkubwa????

Kijana, cheza mziki unaoulewa mwenyewe, huolei ukoo, wazazi wala jamii yako, unajiolea mkeo wa kuishi naye wewe.
Grow up kid!
Well said
 
Kikubwa ni upendo olewa/oa uliempenda hizo sheria haziapply kila wakati wengine wanasifa zote lkn hujampenda na unaempenda hana sifa kama tatu toka kwenye hiyo list unajua ukipenda hata ukiitwa kwa ukali utaona ameita kwa sauti ya juu tu na akipika vibichi utasema ni sababu ya mgao wa umeme tu na mkeo ukimkuta kanuna utasema kachoka tu hapendi kuongea, hivyo basi upendo umezidi sifa zote. Hivi hujawahi ona kuna watu wanasifa njema sana lkn mume/mke hampendi kabisaa mpaka mnajiuliza sasa huyo anataka nini mbona mke/mume ana sifa zote kulikoni. To the best of my knowledge naona sifa ya upendo ipo juu kuliko zote na imeoverride sifa zote.
 
Haha dunia imechange sana hao wachumba hawadondoki toka mawinguni ni hawa hawa waliolelewa ktk jamii hii iliyopotoka so kutegea zeituni chini ya mjohoro is more than madness
 
kwa wanaume. Sikushauri sana kuoa mwanamke mkimia maana ni ngumu sana kujua ana GB ngapi ili na wewe uwe na RAM kiasi gani. Wengi waliojaribu wamejikuta wanaram 320MB wakati wadada wanaGB hadi 800. As a result mambo hayaendi, computer inakuwa inafungua file moja kwa saa nzima. So guys be careful.
 
1) Sifa na tabia njema (2) Lika na umli mnao lingana (3) Umfaham kwa mdamlefu (4) Maradhi ya kulisi (5) Imani moja (6) Anae kubalika pande zote (7) Aanae hudhuria ibada (8) Usafi wa kimwili naki roho (9) Apende ndugu wapande zote.

Mzee kifimbo cheza Nicas Mtei upo???
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi ni kitu cha ajabu na ni upofu pia, unaweza kutoa vigezo vyako vyote but ukaja fall kwa mtu ambaye hukutarajia.
 
Kwa kuwa umeshapururuliwa na majidume bila mpangilio umewahi kukandia bikira kwa kuwa tu unaupaisha udhaifu wako. Bikiri si ugonjwa na nikukumbushe kuwa binti aliye mcha Mungu, anapoolewa akiwa na bikira basi anayo nafasi nzuri ya kujitunza na kuwa mwaminifu zaidi ya wewe uliyezoea kubanduliwa kila kichochoro.

Id yako sasa....
 
Ni kweli,mwanamke bikira,ana uwezo mkubwa wa kutulia na mwanaume mmoja kuliko yule alozoea ladha mbalimbali.

Kwa mimi naamini aliezungukaaa mwshoe utulia.coz haoni jpya tena kama yote keshayaona....shughuli bikra uliembikiri akakutana na manyang'au ya mjini mke huna.....nna vivid example kabsaaaa....
 
Kabla ya kuoa mwanaume yakupasa ujiweke ktk mazingira mazuri ya kuwa mme bora then mke bora ndio atakuja,ndoa ni maisha ya ushirikiano kati yako na mkeo,so fulful ur part.Don't concentrate in finding a gud wife insteady concentrate to make urself a gud husbund
 
Asante kwa kunichallenge kwa point za nguvu hasa my mdogo,but mambo ni kama hivi usitake kuoa mwanamke aliyekuzidi au mnayelingana kwani kama ijulikanavyo mume apaswa kuheshimiwa na mkewe sasa kwa wanawake wengine ambao ni wakubwa kwa waume zao mara nyingi huona haya au hata kuhisi kuonewa kwa kuwabidi wawaheshimu waume zao ambao kiumri ni sawa na wadogo zao jambo ambalo huletea mwanamke kumheshimu mume kishingo upande au ukikukuta kichwa ngumu ni full vurugu ndani ya nyumba lakini mke akiwa mdogo kuliko mumewe ni rahisi sana kwake kumheshimu bila kinyongo kwa ukweli uliopo kuwa yule mume wake ni mkubwa na anastahili heshima,pia wanawake huwahi kuzeeka kutokana na shuluba kama vile kuzaa na hivyo ukioa mwanamke anyakuzidi umri mwisho wa siku itaonekana ulioa bibi na sio mke wa size yako jambo ambalo katika jamii huleta maswali mengi sana,na pia kuhusu elimu katika ndoa haitakiwi mume na mke muwe mmepishana sana kwenye level ya elimu mfano mume ana masters mke kaishia form four jambo ambalo ni vitu nviwili tofauti na kutofautiana sana mawazo na maoni lazima kutatokea,so kama una mpango wa kutojali vipengele hivyo viwili naomba leo ukae chini na utafakari my mdogoung
 
Asante kwa kunichallenge kwa point za nguvu hasa my mdogo,but mambo ni kama hivi usitake kuoa mwanamke aliyekuzidi au mnayelingana kwani kama ijulikanavyo mume apaswa kuheshimiwa na mkewe sasa kwa wanawake wengine ambao ni wakubwa kwa waume zao mara nyingi huona haya au hata kuhisi kuonewa kwa kuwabidi wawaheshimu waume zao ambao kiumri ni sawa na wadogo zao jambo ambalo huletea mwanamke kumheshimu mume kishingo upande au ukikukuta kichwa ngumu ni full vurugu ndani ya nyumba lakini mke akiwa mdogo kuliko mumewe ni rahisi sana kwake kumheshimu bila kinyongo kwa ukweli uliopo kuwa yule mume wake ni mkubwa na anastahili heshima,pia wanawake huwahi kuzeeka kutokana na shuluba kama vile kuzaa na hivyo ukioa mwanamke anyakuzidi umri mwisho wa siku itaonekana ulioa bibi na sio mke wa size yako jambo ambalo katika jamii huleta maswali mengi sana,na pia kuhusu elimu katika ndoa haitakiwi mume na mke muwe mmepishana sana kwenye level ya elimu mfano mume ana masters mke kaishia form four jambo ambalo ni vitu nviwili tofauti na kutofautiana sana mawazo na maoni lazima kutatokea,so kama una mpango wa kutojali vipengele hivyo viwili naomba leo ukae chini na utafakari my mmdo
 
sifa za mwanamke wa kuoa

1-awe BIKRA
2-awe BIKRA
3-awe BIKRA
4-awe BIKRA

tofauti na hapo utaoa mke wa mtu.
 
hivi wewe hujui matumizi ya lugha???cant you see the difference between l and r??
sorry hii comment yako imenifanya nikunje uso jitu zima linaingia humu halijui wapi aandike l au r wapi aandike a au h.🥁🥁
huyu hajui kiswahili wala kiingereza
 
Back
Top Bottom