Sifa za Mchumba(mwanamke) wa kuoa

Sifa za Mchumba(mwanamke) wa kuoa

Joined
Apr 28, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Watu wengi hasa nchi hii wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya nani mke mzuri wa kuoa.

Zifuatazo ni baadhi ya sifa za jumla ambazo wana zipendekeza, awe msomi, asiwe anatoka familia yenye magonjwa kama ya kurith, awe na umri wa mdogo kulko wewe, awe mcha mungu, akupende wewe, ndugu na jamaa zako, Je! Zipi sifa za lazima ( STRICTLY COMPULSORY) ambazo mwanaume anapaswa kuzi observe kabla ya ndoa.

Naamini nitapata majibu ya uhakika, (WELL RESEARCHED).

Ahsanteni
 
bikira hafai... atabadilika...enzi zake zimepita...lol
 
Sifa kuu za kupata mke/mume wa kujinafasi nae maishani ni hizi!!!!!!!!! (Ziko so overated labda ndo maana mi sipati)

1. Urizike nae kabisaaaaaa kwa uzuri na muonekano. Hata ukenda nae mahala unakuwa comfortable and you can even brag about him/her.

2. Awe anakupoteza kabisaaa kunako uwanja wa fundi seremala. Yaaani kufikishwa lisewe swala la majadiliano wala maongezi.

3.Uwe unampenda tu for no reason at all. Hata ukiulizwa umempendea nini usiwe na jibu.

Haya yatakuwezesha kudumu na mtu at all weather and climate.

EPUKA!!!!!!!!!!!!!

1. Kuoa/ kuolewa kwa sababu za kiuchumi coz in the longru kama umesoma sanaa na unaendelea kusoma sanaa automatically utatoka kimaisha. Sasa kama ulioa mtu hana kitu kwa kuwa insecure na ulalahoi wako, ukizishika you wont even touch her. Kutwa kutafuta vibinti utavoona ni standard yako.

2. Kuoa/kuolewa kwa woga wa kubaki alone. In jst few months utagundua it wasnt worth it, n the hype of marriage isnt that much a big deal. Ndo mwazo wa kuwa kisirani juu ya kisirani. Mtu ajakukosea ila anakukeraaaaaa mpaka basi.

Im just sayin people.
 
Kwa kuwa umeshapururuliwa na majidume bila mpangilio umewahi kukandia bikira kwa kuwa tu unaupaisha udhaifu wako. Bikiri si ugonjwa na nikukumbushe kuwa binti aliye mcha Mungu, anapoolewa akiwa na bikira basi anayo nafasi nzuri ya kujitunza na kuwa mwaminifu zaidi ya wewe uliyezoea kubanduliwa kila kichochoro.
 
A=age
B=Beuty
C=Characters
E=Education
najua hayo tu kuwa factors muhimu katika kuchagua mke au mme
 
nimeipokea heshima yangu kwa mikono yangu yote miwili,ila unaweza kunieleza kwa nini hukubaliani na hivyo vitu viwili?
heshima yako my kaka yangu mpendwa!
Hapo kwenye Age na Education sikubaliani napo
 
(Ziko so overated labda ndo maana mi sipati)

1. Urizike nae kabisaaaaaa kwa uzuri na muonekano. Hata ukenda nae mahala unakuwa comfortable and you can even brag about him/her.

3.Uwe unampenda tu for no reason at all. Hata ukiulizwa umempendea nini usiwe na jibu.

Haya yatakuwezesha kudumu na mtu at all weather and climate.

EPUKA!!!!!!!!!!!!!

1. Kuoa/ kuolewa kwa sababu za kiuchumi
2. Kuoa/kuolewa kwa woga wa kubaki alone.
agreed

plus,
mcha Mungu, understanding, trustyworthy, faith, caring
 
Kwa kuwa umeshapururuliwa na majidume bila mpangilio umewahi kukandia bikira kwa kuwa tu unaupaisha udhaifu wako. Bikiri si ugonjwa na nikukumbushe kuwa binti aliye mcha Mungu, anapoolewa akiwa na bikira basi anayo nafasi nzuri ya kujitunza na kuwa mwaminifu zaidi ya wewe uliyezoea kubanduliwa kila kichochoro.

Ni kweli,mwanamke bikira,ana uwezo mkubwa wa kutulia na mwanaume mmoja kuliko yule alozoea ladha mbalimbali.
 
Sifa za Mchumba(mwanamke) wa kuoa!
Mwenye dini = Yes (atafuata taratibu muwafaka)
Mwenye urembo = No. (ataleta fitina kati ya jamii )
Mwenye ukabila = No. ( atajisifia ukoo,kabila,damu ndg)
Mwenye mali = No. (atadhalilisha maisha uliyokuja nayo)

Jaribuni au tafakarini yanayo jiiri mitaani.

Mwenye

Hakuna yuniveso law
Haramu kwa mwenzio halali kwa mwingine.

Mbona Maria Carey na mumewe wanaishi japo Mariah mkubwa????

Kijana, cheza mziki unaoulewa mwenyewe, huolei ukoo, wazazi wala jamii yako, unajiolea mkeo wa kuishi naye wewe.
Grow up kid!
 
nimeipokea heshima yangu kwa mikono yangu yote miwili,ila unaweza kunieleza kwa nini hukubaliani na hivyo vitu viwili?

Age: wanategemea heshima na kuchoka mapema kwa Ke, lakini leo hii naona kuna ndoa ambazo ni imara na kuheshimiana, ingawe Ke ana mzidi umri, na kuna ndoa kibao zimeshikiliwa na uzi wa tandu, huku Me akiwa na umri kuliko Ke, Swala la kuchoka inategemea na mazingira na aina ya maisha ya wahusika wenyewe.

Elimu: Ni elimu gani unayo maanisha hapo .
 
1) Sifa na tabia njema (2) Lika na umli mnao lingana (3) Umfaham kwa mdamlefu (4) Maradhi ya kulisi (5) Imani moja (6) Anae kubalika pande zote (7) Aanae hudhuria ibada (8) Usafi wa kimwili naki roho (9) Apende ndugu wapande zote.
 
SHOST TEH TEH nimeipenda hiyo umenipendea nini hana jibu
Sifa kuu za kupata mke/mume wa kujinafasi nae maishani ni hizi!!!!!!!!! (Ziko so overated labda ndo maana mi sipati)

1. Urizike nae kabisaaaaaa kwa uzuri na muonekano. Hata ukenda nae mahala unakuwa comfortable and you can even brag about him/her.

2. Awe anakupoteza kabisaaa kunako uwanja wa fundi seremala. Yaaani kufikishwa lisewe swala la majadiliano wala maongezi.

3.Uwe unampenda tu for no reason at all. Hata ukiulizwa umempendea nini usiwe na jibu.

Haya yatakuwezesha kudumu na mtu at all weather and climate.

EPUKA!!!!!!!!!!!!!

1. Kuoa/ kuolewa kwa sababu za kiuchumi coz in the longru kama umesoma sanaa na unaendelea kusoma sanaa automatically utatoka kimaisha. Sasa kama ulioa mtu hana kitu kwa kuwa insecure na ulalahoi wako, ukizishika you wont even touch her. Kutwa kutafuta vibinti utavoona ni standard yako.

2. Kuoa/kuolewa kwa woga wa kubaki alone. In jst few months utagundua it wasnt worth it, n the hype of marriage isnt that much a big deal. Ndo mwazo wa kuwa kisirani juu ya kisirani. Mtu ajakukosea ila anakukeraaaaaa mpaka basi.

Im just sayin people.
 
1) Sifa na tabia njema (2) Lika na umli mnao lingana (3) Umfaham kwa mdamlefu (4) Maradhi ya kulisi (5) Imani moja (6) Anae kubalika pande zote (7) Aanae hudhuria ibada (8) Usafi wa kimwili naki roho (9) Apende ndugu wapande zote.

hivi wewe hujui matumizi ya lugha???cant you see the difference between l and r??
sorry hii comment yako imenifanya nikunje uso jitu zima linaingia humu halijui wapi aandike l au r wapi aandike a au h.:drum::drum:
 
Asante kwa kunichallenge kwa point za nguvu hasa my mdogo,but mambo ni kama hivi usitake kuoa mwanamke aliyekuzidi au mnayelingana kwani kama ijulikanavyo mume apaswa kuheshimiwa na mkewe sasa kwa wanawake wengine ambao ni wakubwa kwa waume zao mara nyingi huona haya au hata kuhisi kuonewa kwa kuwabidi wawaheshimu waume zao ambao kiumri ni sawa na wadogo zao jambo ambalo huletea mwanamke kumheshimu mume kishingo upande au ukikukuta kichwa ngumu ni full vurugu ndani ya nyumba lakini mke akiwa mdogo kuliko mumewe ni rahisi sana kwake kumheshimu bila kinyongo kwa ukweli uliopo kuwa yule mume wake ni mkubwa na anastahili heshima,pia wanawake huwahi kuzeeka kutokana na shuluba kama vile kuzaa na hivyo ukioa mwanamke anyakuzidi umri mwisho wa siku itaonekana ulioa bibi na sio mke wa size yako jambo ambalo katika jamii huleta maswali mengi sana,na pia kuhusu elimu katika ndoa haitakiwi mume na mke muwe mmepishana sana kwenye level ya elimu mfano mume ana masters mke kaishia form four jambo ambalo ni vitu nviwili tofauti na kutofautiana sana mawazo na maoni lazima kutatokea,so kama una mpango wa kutojali vipengele hivyo viwili naomba leo ukae chini na utafakari my mdogo.

Back
Top Bottom