Sifa za kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

All in all hana sifa, si wakili.Hajawahi faulu mtihani wa uwakili popote pale duniani.Halafu acha ukilaza. NIMESOMA POTE HAPO HAKUNA SEHEMU INASOMA KUWA ALIWAHI KUFANYA KAZI OFFICE YA MWANASHERIA KABLA YA KWENDA AVIATION
Mbona tone imebadilika imekua ya kipole!?..umeona alivyo mwamba, state attorney wa wizara ya katiba na Sheria 2000-01,ni nani?
 
Attachments

  • Screenshot_2025-11-06-17-35-01-290.jpg
    Screenshot_2025-11-06-17-35-01-290.jpg
    81.5 KB · Views: 13
Mbona tone imebadilika imekua ya kipole!?..umeona alivyo mwamba, state attorney wa wizara ya katiba na Sheria 2000-01,ni nani?
Si kweli,kumbe source yako ni hii? Si kweli ninakuambia again huo mwaka alioandika hapo 2000 mpaka 2001 hakuwepo office ya mwanasheria mkuu.Muongo yule.Kishoka yule.
 
Kishoka na kahdhiri udsm,mzumbe, Egypt.. alikua state attorney wa wizara ya katiba na Sheria 2000-01,ikawaje kishoka awe state attorney wa wizara?..mpunguze chuki na majungu
 
Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), sifa za mtu anayestahili kuteuliwa kuwa Attorney General (Mwanasheria Mkuu wa Serikali) zimeelezwa katika Ibara ya 59(3).

Sifa za kuwa Attorney General wa Tanzania

Kwa mujibu wa Katiba hiyo:

1. Lazima awe raia wa Tanzania.

Mtu huyo ni lazima awe raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuzaliwa au kwa kupewa uraia kwa mujibu wa sheria.

2. Lazima awe ni wakili mwenye sifa.

Mtu huyo ni lazima awe amehitimu taaluma ya sheria na ameandikishwa kuwa wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

3. Uzoefu wa kutosha katika taaluma ya sheria.

Katiba inataka awe amefanya kazi kama wakili kwa muda usiopungua miaka 10 tangu aandikishwe kama wakili wa Mahakama Kuu.

4. Kuteuliwa na Rais.

Attorney General huteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mujibu wa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba.

NB: Sometimes N is silent in lines like T in listen
Hii si reply ya kishabiki, genuinely naomba kueleweshwa Robot la Matope

Nimeenda kurejea katiba kifungu cha 59 (2 na 3) hakijataja sifa za mwanasheria mkuu kama ulivyozielezea, isipokua ni lazima awe na sifa maalum zinazomuwezesha kuwa jaji wa mahakama kuu kulingana na ibara ya 109(8).

Screenshot 2025-11-06 at 15.57.13.png

Ibara hiyo hiyo ya 109 (9) imerudisha mamlaka kwa raisi kumchagua jaji wa mahakama kuu hata kama hana sifa maalum endapo raisi atatosheka na uwezo wake.

Screenshot 2025-11-06 at 16.34.42.png

Naomba ufafanuzi, kulingana na vipengele hivyo, je kuna uwezekano katiba yetu inaruhusu AG wetu wa sasa kuteuliwa hata kama hakidhi vigezo vya uwakili?

Na kama katiba inaruhusu, je haya si mapungufu makubwa ya kikatiba yanayopigiwa kelele kila siku, kwamba Raisi ana mamlaka makubwa sana ambayo hayatakiwi kuwepo?
 
Mwanasheria ana elimu ya kuunga unga kama Hangaya. Kasoma, bachelor's and master's in Ukraine, should tell you everything you need to know.
 
Hamza Johari si wakili. Halafu kasomea huko Ukraine. Kwanza inawezekana cheti cha kufoji. Ila si wakili ndo maana alimuuliza DP kama wana agreement na USA za kuweza kumleta Mange Tanzania. Inshort mwanasheria mkuu hajui sheria na katika ya Tanzania. Aibu naona mimi ,ndo taabu ya kuwa na Rais la Saba felia.
Mbaya zaid hata wa kumshauri hakuna?naamini wapo ila lila mtu kaufyata kutokana na tabia na huyu kakaaa kimaslahi zaidi.
 
Aonywe huyu aache kumtajataja Mange.Huyu ni wa kumalizana naye haraka sana.Mjinga anathamini gari kuliko uhai wa watu?!
Jamani awindwe huyu.
 
Hamza Johari si wakili. Halafu kasomea huko Ukraine. Kwanza inawezekana cheti cha kufoji. Ila si wakili ndo maana alimuuliza DP kama wana agreement na USA za kuweza kumleta Mange Tanzania. Inshort mwanasheria mkuu hajui sheria na katika ya Tanzania. Aibu naona mimi ,ndo taabu ya kuwa na Rais la Saba felia.
Bora angemteua Nassoro Katuga
 
Ni mwanasheria mzuri WA mambo ya aviation na alifanya vizuri Sana huko . International laws anazifahamu mambo ya incoterm yupo vizuri .
 
Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), sifa za mtu anayestahili kuteuliwa kuwa Attorney General (Mwanasheria Mkuu wa Serikali) zimeelezwa katika Ibara ya 59(3).

Sifa za kuwa Attorney General wa Tanzania

Kwa mujibu wa Katiba hiyo:

1. Lazima awe raia wa Tanzania.

Mtu huyo ni lazima awe raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuzaliwa au kwa kupewa uraia kwa mujibu wa sheria.

2. Lazima awe ni wakili mwenye sifa.

Mtu huyo ni lazima awe amehitimu taaluma ya sheria na ameandikishwa kuwa wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

3. Uzoefu wa kutosha katika taaluma ya sheria.

Katiba inataka awe amefanya kazi kama wakili kwa muda usiopungua miaka 10 tangu aandikishwe kama wakili wa Mahakama Kuu.

4. Kuteuliwa na Rais.

Attorney General huteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa mujibu wa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba.

NB: Sometimes N is silent in lines like T in listen
Sasa huyu mwanasheria wa mchongo aliyeteuliwa juzi mbona anaonekana boya?
 
Hamza Johari si wakili. Halafu kasomea huko Ukraine. Kwanza inawezekana cheti cha kufoji. Ila si wakili ndo maana alimuuliza DP kama wana agreement na USA za kuweza kumleta Mange Tanzania. Inshort mwanasheria mkuu hajui sheria na katika ya Tanzania. Aibu naona mimi ,ndo taabu ya kuwa na Rais la Saba felia.
😂😂😂😂
 
Mtu anaapa nitailinda Katiba alafu kazi yake ya kwanza anakwenda kinyume na katiba. Tanzania tuahitaji katiba inayojitegemea na kujilinda sio huu utumbo
 
Back
Top Bottom