Sifa za kujiunga na chuo kikuu 2016

Sifa za kujiunga na chuo kikuu 2016

Habarin jaman mim nina shida naomba ushauri nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na nimefaulu kwa divition 2 ya point 10 na ningependa kusoma facat ya education niwe mwalimu wa kiswahili na geograph lakin geograph nina D na ukirud nyuma form 4 pia nilipata geograph D sasa itafaa kweli?
 
inafaa hiyo haina shida utapata tu bila shida yoyote sababu form six geography umefaulu na ndo inayokupeleka chuo form four ulifaulu tayar ndo maana ukaruhusiwa kwenda advance utapata hiyo kozi ya education kuwa na amani
 
Kama uko dar nenda maonyesho ya vyuo vikuu kuanzia tarehe 20/07/2016
 
Back
Top Bottom