Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

Kwakua unadiploma angalia masomo yako ya olevel yaliyo kwenye chEti chako hayo ndio utaweza somea ualimu wenye masomo hayo siku hizi mambo yamebadilika kidogo
Duu kwa hali hiyo sidhan kama tafanikiwa make sikupitia advance nilipitia chet then diploma,,,
 
Back
Top Bottom