Tiology Katete
Member
- Nov 16, 2022
- 37
- 23
- Thread starter
- #21
Ndugu nisaidie vp kwa sifa zang naweza chukua ualim wa biashara degreeSiyo kweli.
Ndugu nisaidie vp kwa sifa zang naweza chukua ualim wa biashara degreeSiyo kweli.
Ndiyo, diploma yoyote inakubalika kusoma degree yoyote kulingana na kozi uliyoomba.Ndugu nisaidie vp kwa sifa zang naweza chukua ualim wa biashara degree
Asante ndugu make kna jemba ilikua inanikatisha tamaa, ngoja huu mwaka niombe nikibahatika ntamshukur Mungu,, Mungu akubarikNdiyo, diploma yoyote inakubalika kusoma degree yoyote kulingana na kozi uliyoomba.
Aaaaaah hutaki masihara kwenye Elimu ya madogo, "Akalime tu"Una gpa ya ngapi?
Ila nadhani huna sifa kwa sababu Hesabu una Mswaki.
Nenda kalime
Hiyo GPA ninayoIssue kubwa hapo ni GPA,kama ipo vizuri,utakuwa na sifa za kusoma Bachelor,ninapoongelea GPA walau isipungue 3.
Ebhanae tupo make huu.uhasibu usipo kua na reffaree utaishia kulima vitunguu swaumBado kuna watu wanasomea ualimu?
Hiyo ada bora utafute kitu ufanyeEbhanae tupo make huu.uhasibu usipo kua na reffaree utaishia kulima vitunguu swaum
Hapana ntaomba mkopo nikikosa sisomHiyo ada bora utafute kitu ufanye
Una muda wa kupotezaHapana ntaomba mkopo nikikosa sisom
Ndugu huu uhasibu umenikera bora niendelee kupoteza tu mdaUna muda wa kupoteza
Narudia tena sifa unazo nenda kasome,timiza malengo yako umu jamvini wengine wapo kwa ajili ya kukatisha watu tamaa,ndo maana wengine wanakupa majibu ya kudharau kozi unayotaka kuisoma,songambele achana naoNdugu huu uhasibu umenikera bora niendelee kupoteza tu mda
Asante kaka ubarikiwe,, ningetaman nipate contact ako kama hutojaliNarudia tena sifa unazo nenda kasome,timiza malengo yako umu jamvini wengine wapo kwa ajili ya kukatisha watu tamaa,ndo maana wengine wanakupa majibu ya kudharau kozi unayotaka kuisoma,songambele achana nao
Kwamba haiwezekani???Miongozo waliyomuekea wadau inaukakasi sana wanampotosha
Hinawezekana kusoma shahada ya elimu lakini sio kwa hiyo coz anayoitaka yeyeKwamba haiwezekani???
Niambie ni kozi gani ya ualimu inayo nifaa kwa sifa za zangu kujiunga na shahadaHinawezekana kusoma shahada ya elimu lakini sio kwa hiyo coz anayoitaka yeye
Kwakua unadiploma angalia masomo yako ya olevel yaliyo kwenye chEti chako hayo ndio utaweza somea ualimu wenye masomo hayo siku hizi mambo yamebadilika kidogoNiambie ni kozi gani ya ualimu inayo nifaa kwa sifa za zangu kujiunga na shahada