Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

Habari wana jamvi,

Mimi nina Diploma ya Uhasibu nilihitaji panapo majaliwa niendelee na masomo ya chuo kikuu kwa kozi ya BACHELOR OF EDUCATION IN COMMERCE AND ACCOUNTING.

Je kwa diploma yangu nina sifa za kujiunga kozi hiyo.
Omba tu utachaguliwa usiogope hapa wadau watakutisha
Hiyo diploma utakubaliwa tu
 
Kwan had niwe na pass ngap ndo nitajiunga na masomo ya ualimu chuo kikuu
Unatakiwa angalau uwe na pass 4 ndio Ujiunge na masomo ya shahada ya kwanza.

Wewe una pass ngapi?
Maana unakuta mtu ana diploma ila ana pass Moja tu.
 
Unatakiwa angalau uwe na pass 4 ndio Ujiunge na masomo ya shahada ya kwanza.

Wewe una pass ngapi?
Maana unakuta mtu ana diploma ila ana pass Moja tu.
Hahahah ndugu nina CIVICS D, HISTORY C, GEO D, KISWAHIL D, BIO D, PYHSICS F, ENGLISH D, CHEMIA F, MATH F
 
Unatakiwa angalau uwe na pass 4 ndio Ujiunge na masomo ya shahada ya kwanza.

Wewe una pass ngapi?
Maana unakuta mtu ana diploma ila ana pass Moja tu.
Dhumuni langu ni kujiunga bachelor. Of education in Commerce and accounting je kwa sifa hizo nitachaguliwa kweli nikiomba???
 
Back
Top Bottom