Sifa za kila mkoa Tanzania.


Mkuu hapo red cjakusoma! maana big house yetu na ule mjengo wa 60.6%?
 
Mkuu Arusha mambo ya mererani na ujambazi wa kutisha mara kwa mara wapi ustaarabu hapo! Na kuhusu hasara sijaelewa!
 
Nataja sifa wewe peleka mkoa husika
-kupenda mabusha
-kulima bangi
-ujasiriamwili
-champions of tigolaizeshoni
-vipaji vya umbea
-vipaji vya mpira
-vipaji vya kuimba
-vipaji vya kupiga mtungi
 
Nataja sifa wewe peleka mkoa husika
-kupenda mabusha
-kulima bangi
-ujasiriamwili
-champions of tigolaizeshoni
-vipaji vya umbea
-vipaji vya mpira
-vipaji vya kuimba
-vipaji vya kupiga mtungi

Kulima bangi-MARA/MANYARA

Vipaji vya kuimba-MBEYA, KIGOMA

Vingine mtihani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…