Sifa za husband material

ili mizami i balance tugawe kwa mbili sawa na wanaume 8

Kwaiyo anatakiwa atafute wanaume 8 wote wamuoe kwa pamoja hapo ndo atakuwa kapata husband material
So ajiandae kupigwa eight some kila siku mbaka akili imkae sawa
 
Hakuna mtu perfect hivi bongo
 
Hivyo vyote unaweza pata kwa mwanaume mmoja ila tatizo nyie mnatoa nini zaidi mnaishia kuwaumiza na wanaamua kuwa mabedui. Ndio maana tukaamua kila mmoja awe na sifa moja wapo hapo ili msituchanganyie mafaili
 
Mumm
 
hapendi kabisa ukitonga
 
Hivyo vyote unaweza pata kwa mwanaume mmoja ila tatizo nyie mnatoa nini zaidi mnaishia kuwaumiza na wanaamua kuwa mabedui. Ndio maana tukaamua kila mmoja awe na sifa moja wapo hapo ili msituchanganyie mafaili
Usijumuishe mkuu
Hata sie tumekutana na wnaume mabedui
Lkn kamwe naamini watu wametofautiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…