Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 890
- 2,203
- Thread starter
-
- #61
Kakosea sana kuja kutangaza
1. Anajitambua
2. Mpole
3. Ana busara
4. Ni mtoaji sio mchoyo tena bila kuomba
5. Ana tafuta solution tu pindi akikukwaza
6. Hayuko tayari ku kupoteza
7. Ana risk kila kitu kwaajili yako
8. Ana huruma
9. Anakufanyia suprise often just kukufanya uwe na furaha
10. Ana kusifia very often
11. Anakua open na kueleza mipango yake
12. Anakua na wewe kwenye shida na raha
13. Anakuambia nakupe very often
14. Anawajulia hali familia yako
15. Sio mtu wa kununa wala kukasirika ovyo
16. Ni mpambanaji na anajitegemea
Na zingine malizieni.
Kwahiyo kujua kuku.tomba vizuri na kukukojoza sio sifa mojawapo ya husband material?? Mbona hujaitaja we msimbe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Katafute wanapatikana Maswa huko , sisi tuache kabisaa tutakuumiza
Kama umemuongelea mume wangu sifa zote anazo kasoro anawahi kukasirika kwa jambo hata dogo ila hasira zinawahi kuisha.
Ila umewapangAHusband material tumetulia na hii mvua hatuendi club wala hatunywi pombe.
Nakubaliana na wewe kabisa, hizo ni sifa za husband material kwa wife material
Kimbembe kwa husband material tafuta huyo wife material kama hujafa na utamu wako kiunoni
Dunia ya sasa ni mwendo wa kubalance energy tu, yaani unavyokuja ndo unavyopokelewa, mwanamke usipokaa kwenye code utayokutana nayo ni unasepa bila kuaga
Hamna muda wa kupoteza na hizo sifa nadharia
Yaan hapo umetaja wanaume 16
Wanawake mnajipaga umuhimu ambao hamuukidhi. Too pathetic
Na wewe kama mwanamke una sifa zipi angalau 20 kuambatanisha na huyo mwanaume mwenye sifa za watu 16 tofauti....!!! Na wewe una offer nini na mchango gani kama msaidizi kwa huyo husband material,
Mwanaume akishakua na maokotoo ya kushatoo, ni husband material tayari,
Hizi zingine ni mbwembwe tyuuh.
Hii ni ukweli, hawajui wanachokitaka.Watu wa ovyo sana utakuta umempata mwenye sifa zote alafu unaenda kuliwa na Mudi boda boda au na Muha mkopesha vyombo!
Umeongea ukweli.Ni mwanaume mpumbavu tu anaweza kuwa na sifa hizo zote. Na ni mwanamke mbinafsi tu na asiyejua kutafuta pesa atahitaji sifa zote hizo kwa mwanaume. Kaka zangu amkeni.
Dada angu huku utaandika ,utaandika humu hao watu hawapo labda utoe tangazo la biashara humu utapata wateja. Goodnight
Husband material tumetulia na hii mvua hatuendi club wala hatunywi pombe.
Hizi sifa ulizotaja Dingi yako anazo au unatuchosha tu.
Sasa huyo ni husband material au zoba?