Sifa za husband material

Kama umemuongelea mume wangu sifa zote anazo kasoro anawahi kukasirika kwa jambo hata dogo ila hasira zinawahi kuisha.
 
Nakubaliana na wewe kabisa, hizo ni sifa za husband material kwa wife material

Kimbembe kwa husband material tafuta huyo wife material kama hujafa na utamu wako kiunoni

Dunia ya sasa ni mwendo wa kubalance energy tu, yaani unavyokuja ndo unavyopokelewa, mwanamke usipokaa kwenye code utayokutana nayo ni unasepa bila kuaga

Hamna muda wa kupoteza na hizo sifa nadharia
 
Na wewe kama mwanamke una sifa zipi angalau 20 kuambatanisha na huyo mwanaume mwenye sifa za watu 16 tofauti....!!! Na wewe una offer nini na mchango gani kama msaidizi kwa huyo husband material,
 
Eti "anakufanyia surprise very often"...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Ma tamthilia ya kituruki na kikorea yamewajaa vichwani.....

Mtaishia kupata "bongo movie"mkiendekeza hizo tamthilia [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume akishakua na maokotoo ya kushatoo, ni husband material tayari,
Hizi zingine ni mbwembwe tyuuh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namkubali sana yule rafiki yako boss wa kariakoo jina sijui lamomy yy hana mbambamba defn ya mwisho ya husband material ni 💸💸💸💸hizi porojo zngn hana mda nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…