mtu anayekaa kuchambua chambua wanawake ni mwanaume wa dar....wenye sifa ya kula chips nusu sahani
huwezi kukuta mwanaume wa maswa, mbeya,arusha, iringa akichambuachambua wanawake.....
kushindwa kumdhibiti au to shape a woman ni upungufu wa mwanaume husika na sio wa mwanamke

yaan umenena mwanaume wakweli arusha,moshi, mbeya,mwanza, mara n.k huwez shinda kumchambua mwanamke hivyooo wanamnyima usingiz wanawake aisee, hamna mahusiano ya body size na moyo wa mtu. mfano akiwa mwembamba akaja kunenepa na tabia inabadilika au
mtu anayekaa kuchambua chambua wanawake ni mwanaume wa dar....wenye sifa ya kula chips nusu sahani
huwezi kukuta mwanaume wa maswa, mbeya,arusha, iringa akichambuachambua wanawake.....
kushindwa kumdhibiti au to shape a woman ni upungufu wa mwanaume husika na sio wa mwanamke
tupo miss chaggawanaume wa bongo aisee.. bora tu kuchukua wakurunzinza aiseee
mtu anayekaa kuchambua chambua wanawake ni mwanaume wa dar....wenye sifa ya kula chips nusu sahani
huwezi kukuta mwanaume wa maswa, mbeya,arusha, iringa akichambuachambua wanawake.....
kushindwa kumdhibiti au to shape a woman ni upungufu wa mwanaume husika na sio wa mwanamke
sina napo angukia mkuuuwewe namba 5 haikuhusu kweli? Hata ukichukua wa boko haram lazima utaangukia kundi mojawapo
nitakuchukuatupo miss chagga
hivi watu wa DAR wamewakosea nini nyiniy??!! sasa maoni ya mtu mmoja ambae inawezekana yupo huko ulipo yanaingizaje wanaume wa DAR??!! Dont hate the player hate the game.
mimi siyo mkuuhahaha ina maana wewe siyo mrefu, siyo mfupi, siyo mweupe, siyo mweusi, au wa duara?