Sifa tunazopewa wakati wa Mnyanduano ni za kweli au tunazugwa tu?

othuman dan fodio

JF-Expert Member
Jan 2, 2018
5,673
9,074
Kichwa cha habari kinajieleza.

Ni kama mara ya tatu au ya nne kwa hizi pisi zimekuwa zikimwaga sifa kuwa the way nawapa kichapo cha mjegeje. Ni vile hawajawahi pata kipigo cha namna hiyo hapo kabla.

Sasa swali nauliza hasa nyie pisi hizo sifa mnazotoa kwa mabaharia huwa ni kweli au ni comouflage tu?
 
Unajazwa ujinga ili ujione kidume.

Mwenye kustahiki sifa huwa hasifiwi kwa maneno, utaona vitendo tu.

Sasa ukute umejikunja kupiga tackle zako 2 ya tatu walete unaambiwa wewe fundi, hapo huoni kuwa unang'ong'wa.

Jaribu kuchukua simu zao uone ulivyoseviwa kama sio 'kimoko chali' basi itakuwa jina lenye maudhui kama hilo.

Usisikilize sana sifa zao, wewe fanya yako uondoke. Nyuchi za kike hazina kukinai, unaweza jikunja mpaka msuli wa kalio ukushike ila ukiondoka tu anaenda kupewa njemba nyingine nae afanye yake.
 
Sasa sisi tunajuaje show yako kwamba tujue unadanganywa au kweli
 
Unajazwa ujinga ili ujione kidume.

Mwenye kustahiki sifa huwa hasifiwi kwa maneno, utaona vitendo tu.

Sasa ukute umejikunja kupiga tackle zako 2 ya tatu walete unaambiwa wewe fundi, hapo huoni kuwa unang'ong'wa.

Jaribu kuchukua simu zao uone ulivyoseviwa kama sio 'kimoko chali' basi itakuwa jina lenye maudhui kama hilo.

Usisikilize sana sifa zao, wewe fanya yako uondoke. Nyuchi za kike hazina kukinai, unaweza jikunja mpaka msuli wa kalio ukushike ila ukiondoka tu anaenda kupewa njemba nyingine nae afanye yake.
Me sio kimoko chali huwa napiga mzigo mpaka hiz manz huwa zinadata huku wakiniuliza Kama Nina undugu na Mandingo.
 
Kichwa cha habari kinajieleza.

Ni kama mara ya tatu au ya nne kwa hizi pisi zimekuwa zikimwaga sifa kuwa the way nawapa kichapo cha mjegeje. Ni vile hawajawahi pata kipigo cha namna hiyo hapo kabla.

Sasa swali nauliza hasa nyie pisi hizo sifa mnazotoa kwa mabaharia huwa ni kweli au ni comouflage tu?
😀😀😀Wanawake hua ni waongo
 
Back
Top Bottom