Kweli kabisa na kwa utukufu wake atukuzie..View attachment 336908
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Enzi zile za Songea Boy's with Kiswele nikikatiza hilo eneo nakumbuka ile methari..KWENYE MITI HAKUNA WAJENZI,Msitu wa Mafinga kama unaenda Makambako hapo mahali ni evergreen mwaka mzima pamoja na Mufindi.