Amenn
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 321
- 422
[emoji1] [emoji1]Haka kajamaa kakorofi....!!!
Alafu kibishi japo kina ujasili..
[emoji1] [emoji1]Haka kajamaa kakorofi....!!!
Alafu kibishi japo kina ujasili..
Nimependa hii!Tunahukumu Hali kuna Hakimu na yeye ndio muhukumu(Tunashindwa hata na wanyama)View attachment 336475
Jambo alilowaza huwezi kuliona kwasababu si yeye bali Ni Mungu mwenyewe amemfunulia ili iitukuze kazi ya mikono yake.Mimi nimekuja huku mbio mbio nikajua nitakutana na bonge la mkia! Mfyuuuuuuuu!
Nimeipenda hiyo ya juu punda wanasaidiana,,,,,,,ila binadamu...!!!Tunahukumu Hali kuna Hakimu na yeye ndio muhukumu(Tunashindwa hata na wanyama)View attachment 336475
Wanachukiana hata Mtume Muhammad .S.A.W akufanya hivyo..Nimeipenda hiyo ya juu punda wanasaidiana,,,,,,,ila binadamu...!!!
Naam hata kwenye vitabu vitakatifu vinasema (KUWEPO KWA USIKU NA MCHANA NI ISHALA YA UWEPO WAKE).Kitu kingine kinachoproves kwamba God ni supreme being ni ile alivyoliweka jua...kaliweka katika perfect distance na dunia ina maana likisogea kidogo mbele hata kwa ncha moja tu basi duniani huku kila kitu kinawaka moto including watoto wake na at the same time likirudi nyuma hata hatua moja tu wote tunafreeze na kuganda kama barafu...kwa utukufu wake akaliweka jua katika umbali sahihi kutoka duniani. What a good God!?
Wanasayansi baada ya kuchokoa wakaishia kukubali na kukiri kwamba kuna kiumbe mmoja wakamwita supreme being wakimaamisha Mungu.
Huwa natafakari juu vitu vingi vya maana na vya kijinga hatimaye naishia kukiri uwepo wake na kumwogopa zaidi Mungu.
Na hapa alifanya kazi yake vyema
View attachment 336507 View attachment 336509
Kweli kabisa na akawapa maarifa...sifa njema ziwe juu yake..
Kwann aliumba jua(nyota) nyingine nyingi sana billions and billions na kuweka sayari(planets)huko?? Au hapa hapa kwenye solar system yetu hizi sayari nyinginr zina kazi gani?Kitu kingine kinachoproves kwamba God ni supreme being ni ile alivyoliweka jua...kaliweka katika perfect distance na dunia ina maana likisogea kidogo mbele hata kwa ncha moja tu basi duniani huku kila kitu kinawaka moto including watoto wake na at the same time likirudi nyuma hata hatua moja tu wote tunafreeze na kuganda kama barafu...kwa utukufu wake akaliweka jua katika umbali sahihi kutoka duniani. What a good God!?
Wanasayansi baada ya kuchokoa wakaishia kukubali na kukiri kwamba kuna kiumbe mmoja wakamwita supreme being wakimaamisha Mungu, wakisema huyu ni beyond our knowledge and IQ.
Huwa natafakari juu vitu vingi vya maana na vya kijinga hatimaye naishia kukiri uwepo wake na kumwogopa zaidi Mungu.
Kuwepo kwa usiku na mchana kinasababishwa na dunia kujizungusha katika mhimili wake.Naam hata kwenye vitabu vitakatifu vinasema (KUWEPO KWA USIKU NA MCHANA NI ISHALA YA UWEPO WAKE).
Kwann aliumba jua(nyota) nyingine nyingi sana billions and billions na kuweka sayari(planets)huko?? Au hapa hapa kwenye solar system yetu hizi sayari nyinginr zina kazi gani?
Na wana sayansi gani hao waliosema kuna supreme being?
Nani alie sababisha iwe hivyo?Kuwepo kwa usiku na mchana kinasababishwa na dunia kujizungusha katika mhimili wake.
Mkuu umeyajuaje hayo yote.Huyu ndege wa kike ndo mpiga kazi sana anajenga yeye atalisha yeye. Lakini dume kazi yake ni kupiga bwele pale mlangoni mwa kiota
Hahah Man ati wekii..Kweli sija zimuendee yeye alie juu... Ilala yule fundi alo ninginiza mambo.. Ajifunze kujisitiri bana... Pale ikitokea baahati mbaya mbwa au paka waka mfumania yatakua mengine
Hizi simu....!!!!Turudi kwa muumba wetu..View attachment 336537
Jiandae kuulizia kwa kile ulichokichunga..View attachment 336538