Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,935
- 6,157
Sifa njema ziwe juu yake..
Ni kweli kabisaaaa..
Mimi nimekuja huku mbio mbio nikajua nitakutana na bonge la mkia! Mfyuuuuuuuu!
Haka kajamaa kakorofi....!!!Ni kweli kabisa na ndio mana kila mtemi ana mtemi wake.
Hahahaah poleMimi nimekuja huku mbio mbio nikajua nitakutana na bonge la mkia! Mfyuuuuuuuu!
Huyu ndege wa kike ndo mpiga kazi sana anajenga yeye atalisha yeye. Lakini dume kazi yake ni kupiga bwele pale mlangoni mwa kiotakweli kabisa hana mkono lakn anashona