[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kijana mrembo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nicheke mieee
Mwifwaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
NaamMwifwaa
No..big NO!...I meant literally meaning.wapole wote chaputa isn't?
Sawa
...Biriani a.k.a mchichamwibaBismark....wewe ni me mambo ya ma handsome waachie ke.
Ama na wewe ni...........
Headsome.. kama sms mafua vileee...yule wa magogoni ni "malaikasome"
Daaaah. Yawezekana ni kweliLazima atakua mpole na asiyependa vurugu, kama una sifa hiyo basi wewe ni Handsome, jamani nawatakia ucku mwema mi ndo natoka job now.
Maelezo kidogo tafadhaliHandsome=chaputa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sifa nyingine ya ma handsome boy hawana nguvu za kiume kwasababu ya chips yai, sikuhiz wanaitwa "kimoja cha kibigwa"
Fungua thread itapendezaHiii hebu tutoke kidogo nje ya hii mada...kuna jambo naomba kuuliza ambalo kwa mbali linaweza kufanana na hii mada..Haya hebu tujadili au tutoe maoni hapa:
Kwa mwanaume uwe hujaoa au umeshaoa japo hupendi sana kutongoza mabinti au wanawake labda kutokana na tabia yako au ili tu kulinda heshima yako unakujikuta unatongozwa na vitoto vya like vya sekondari au vya primary au wasichana ambao hawajaolewa ama hata wake za watu wanakutamani pamoja na hayo yote unakuta mkeo naye anabana hadi black isitoshe mashemeji nao wanakuwa kama wanajilengesha kwako au wanakuwa ni watu wakukufuatilia isijekuwa kuna mwanamke anayekunyemelea hapo mtaani sasa swali langu ni hivii kwa mwanaume wa aina hii ni ma-handsome au nini hasa?
Wanawake wa humu JF kazi kwenu.