Sifa moja ya ma handsome

Halafu sijui kwanini.
Handsome wanamajivuno hivyo wanaendana na madem wasio na majivuno wale ambao wataweza kujishusha kwao na bahati nzuri/mbaya wale wadada wanaodaiwa sio wazuri/warembo wanajishushaga sana,hii inaenda sambamba pia kwa beautifuly ladies ambao wanakuwa pamoja na ugly guys!!!
 
Mademu wabaya wako radhi kutoa papuchi bure kwa ma handsome boy yaani ni vin'gan'ganizi balaa huishia kuzalishwa watoto
Ma handsome boy wengi wanakuaga domo zege wenye dhalau kwa mademu yaani hawababaishwi na sura ya kike.
 
Lazima atakua mpole na asiyependa vurugu, kama una sifa hiyo basi wewe ni Handsome, jamani nawatakia ucku mwema mi ndo natoka job now.

Karibu jamii forums Mkuu.

chai, juice na maji kati ya hivyo upewe kipi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…