Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,831
- 56,341
Hahahaha unajua kuna mahandsome boys wa dar na handsome boys wanaojielewa.sifa nyingine ya ma handsome boy hawana nguvu za kiume kwasababu ya chips yai, sikuhiz wanaitwa "kimoja cha kibigwa"
Mafahari wawili hawakai zizi mojaHalafu sijui kwanini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yule wa magogoni ni "malaikasome"
Truth man. That so trueNi sawa and lastly huwa si wafuatiliaji sana wa wanawake,tofauti na wengi wanavyodhani kuwa being a hansome man is a sexy symbol,ila angalia wale ambao kiuhalisia sio ma handsome afanikiwe kujitengeneza akaonekana ni handsome,utamkoma kwa kubadilisha totos kila mrembo anamtaka yeye..
Hiki kicheko mbona kinaniogopesha hivi jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]yule wa magogoni ni "malaikasome"
Kwa hiyo bwana yule sio hand some !!!
Ukiweka uniiteHahah ngoja niweke
My wangu popote ulipo jitokeze tuwaache midomo waziHalafu sijui kwanini.
Unaogopa nini tena?Hiki kicheko mbona kinaniogopesha hivi jamani
Kwa hiyo wewe ni mbaya?Yes Ofcourse you are so handsome my smart
Sasa my mbona unanianika huku hivi....
Aya subiri uote mviUkiweka uniite
Post yako imekubaliana na mada, kwa hiyo mtazamo wake unatakiwa uwe juu ya post yako na mada.[emoji23][emoji23] huo mtazamo unamuuliza ni juu ya uzi au post yangu?
[emoji23]ha [emoji23]ha [emoji23]ha [emoji23]h!! AiseeePost yako imekubaliaa na mada, kwa hiyo mtazamo wake unatakiwa uwe juu ya post yako na mada.
Vp unapenda ma hb?!Mmmmhhhhh........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mvi zaidi ya hizo nilizonazoAya subiri uote mvi