Sifa kumi za mpenzi wa kweli

Sifa kumi za mpenzi wa kweli

Mapenzi ya kweli yapo na wenye mapenzi ya kweli wapo pia. Ukitaka kumpata mpenzi wa kweli mwenye sifa kama hizo kwanza ni lazima wewe mwenyewe uwe mkwel na kweli iwe ni tabia yako kwasababu mi naamin real lover is for real lover, na huwezi kutafuta mpenz wa kweli wakati wewe sii mkweli/njia zako hazieleweki. Real wife is for real husband, otherwise cannot match
 
Back
Top Bottom