TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,765
- 4,033
Labda alikuwa anatudanganya!kuna nini!!!!
mbona Ali Kiba alisema mapenzi yanarun dunia
Labda alikuwa anatudanganya!kuna nini!!!!
mbona Ali Kiba alisema mapenzi yanarun dunia
Haswa, pesa ndo yenyewe... Awe nazo na awe anaatoa bila kuombwa, huyo ndo mpenzi wa kweliMpenzi wa kweli ni mwenye Pesa.
Full stop.
Mimi sitokukana mpenzi wangu mbaka mwisho wa dunia!Na mwaka huu, mtawakana sana wake zenu humu Jf.
Tamaa ya pesa itawafikisheni pabaya!Haswa, pesa ndo yenyewe... Awe nazo na awe anaatoa bila kuombwa, huyo ndo mpenzi wa kweli
Huu ni utapeli wa mapenzi!
Mapenzi yapo,sema nyinyi hamujawahi kukutana nayo!
Tamaa ya pesa itawafikisheni pabaya!
Labda alikuwa anatudanganya!
Tamaa ya pesa itawafikisheni pabaya!
Mentor mdogo wangu, kwa hiyo wewe huna mapenzi?
Mwambie huyo alie sema, sio mimi.Mapenzi yapo,sema nyinyi hamujawahi kukutana nayo!
Mimi najua mapenzi ya kweli yapo vijijini na matapeli wa mapenzi wapo huku mjini!kwani we unaonaje!!!!!
hakuna mapenzi
ni kweli mkuu!ujumbe mzuri
Hongera sana kwa hili dada yangu!Mwambie huyo alie sema, sio mimi.
Mi nina mpenzi wangu wa vigezo 25!
hahaaa amekuwa confused baada ya kuambiwa anataka kuachwa!!
Kweli kuachwa ni kubaya sana!hahaaa amekuwa confused baada ya kuambiwa anataka kuachwa!!
Kama hana sifa hizo sasa unampendea nini?mpenz wangu hana sifa hata moja ......lakin nampenda tu