Sifa hizi ni za bundi tu

Najua tulikuwa tunaongelea BUNDI lakini jamaa akanichokoza nisamehe kwa jibu la mkato. Ntakuambia ukitaka kujua zaidi kuhusu hilo jina
sema mkuu maana nipo njia panda
 
Kwa anaetaka kufuga ajiandae.;bundi anakula sana vitu kind ya nyama nyama kama vile panya, chura, nyoka wadogo wadogo na hata ndege wenzie. Ana kucha na mdomo mkali sana.
 
Kwa anaetaka kufuga ajiandae.;bundi anakula sana vitu kind ya nyama nyama kama vile panya, chura, nyoka wadogo wadogo na hata ndege wenzie. Ana kucha na mdomo mkali sana.

basi ni mzuri maana panya wanasumbua sana na paka wanawaogopa!
 
Wamesahau kingine... Anasauti mbaya kuliko ndege wengine.. Akilia badala ya mtu kuburudika unaskia kufakufa
 
Kwa kingereza huyu anaitwaje? Nataka nikamgogo in order to further learn about !
Shem nimefurahi kukuona ujue, hebu geuka walau kidogo khaaaa!!! Kila siku unatutia majaribuni na mgongo wako lol!!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…