tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
kwa mujibu kwa kijarida kidogo cha watafiti jamii ya ndege wafugwao na wasiofugwa , imethibitisha kwamba bundi ndio ndege anaeongoza kwa kuwa na sura mbaya na isiovutia kabisa
jamii hii ya ndege arukae na asiefugwa pia imemthibitisha kabisa kuwa ndie ndege pekee duniani ambae ajengi kiota chake kama walivyo jamii ya ndege wengine,na mpaka leo aijajulikana kwanini,,
ndege huyu ambae maharufu sana hasa katika nchi za kitropic, uhusishwa sana na imani za kishirikina na bahadhi ya maeneo uwa ni mkosi pale anapoonekana
hasa hasa ukanda huu wa afrika ya mashariki