Sielewi wairan wanaandamania nini?

Sielewi wairan wanaandamania nini?

Hawa watakuja kujuta kama Walibya tu.

Kwa tuliowahi kuishi Iran tunajua kule viongozi wao na wananchi wao wana msemo wao kwamba "Iran is made for Iranians".... huo msemo hutumika kulenga kwenye rasilimali zao kwamba zipo kwa ajili ya kunufaisha Wairan

Kule Iran mafisadi hukiona cha moto, wavunja sheria wanashughulikiwa haijalishi we ni bilionea au nani ukiwepa kodi au kutakatisha pesa au ukiibia nchi mapesa ukaenda ficha nje unakula kitanzi tena hadharani.

Vyakula ni bei rahisi sana, ukiwa na milioni moja ya Bongo pale Iran unasavaivu mwaka mzima, vyakula ni bei chee sana hususan mchele tena ule wa Basmat.
Kwa ambao ni wachanga nawakumbusha tu kuwa Ni wairan hao hao waliandamana kumtoa Shah wakitaka mfumo wa Kiislam, ni Wairan hawa hawa walipiga kura ya maoni kwa asilimia 95 wakitaka nchi yao iongozwe na mfumo wa kiislam kwa kiasi fulani....
Gesi, mafuta ni bei rahisi sana umeme ni masaa 24, huduma za afya zipo vizuri sana kule mtu kufa kwa kukosa dawa au matibabu ni nadra sana kitiba wapo vizur sana.

Watu wanapata vitu vya msingi karibia vyote ndo maana hawakimbii nchi yao.. Changamoto ambayo ipo ni vikwazo tu na suala la ajira lakini serikali inatoa fungu la kila mwezi kwa wasio na ajira.

Ukiangalia ndo nchi yenye wanasayansi wengi wanawake wa kule ni wasomi sana.

Wana viongozi wazalendo ambao hawauzi bandari zao kwa mikataba ya kibwege,hawauzi gesi na madini kwa kubadilishana na condom na vilainishi kama huku.Venezuela ni kama tz tu nchi ilikua inaendeshwa kihuni watu wanatekwa hali mbaya na ufisadi wa kutisha....

Sijui wanaandamania nini? Matatizo yao wanafahamu fika yanasababishwa na vikwazo.....Imagine Iran wasingekua na vikwazo wangekua level ya Japan...

Sisi ndo tunapaswa kuandamana maana hii nchi yetu imeoza kila pahali, ccm wameigeuza hii nchi kuwa mnada na chaka la upigaji, huu ujinga huwezi kuukuta Iran...Na mazuri yote wanajazwa upepo waandamane...

Libya,Iran, Qatar, Kuwait, UAE,Oman ndo nchi ambazo watu wake hawapaswi kuandamana kabisa maana viongozi wao ni wazalendo na wameleta maendeleo makubwa sana

My take:Wairan watajuta mara elfu zaidi ya walibya....Hawajui wanachoandamania....
Watajuta hao!
 
Taarifa hii kuhusu Iran inaonyesha upande mmoja tu wa hali halisi na inahitaji kukosolewa kwa uwiano.

Kwanza, madai kwamba “mafiasadi hukiona cha moto” si sahihi kikamilifu; Iran imekumbwa mara nyingi na tuhuma za ufisadi wa kifisadi wa kisiasa na kiuchumi, na si kila mtu mwenye nguvu hushughulikiwa kwa usawa.

Pili, hoja kwamba gharama za maisha ni nafuu sana pia ni ya kupotosha. Ingawa mafuta na gesi ni bei nafuu, mfumuko wa bei na kushuka kwa thamani ya sarafu ya Iran vimeathiri vibaya uwezo wa wananchi kununua bidhaa za msingi.

-Mfumuko wa bei Ulifikia 48.6% Oktoba 2025 na 42.2% Desemba 2025.

-Umasikini, Kati ya 27%–50% ya Wairan wanaishi chini ya mstari wa umasikini

-Lishe, 57% ya Wairan waliripotiwa kuwa na kiwango fulani cha utapiamlo (2024)

-Sarafu, thamani ya Rial imeshuka sana; dola moja ya Marekani ilivuka 100,000 tomans Machi 2025

-Ajira, ushiriki wa nguvu kazi uko chini licha ya kupungua kwa kiwango cha ukosefu

Tatu, huduma za afya na dawa si bora kwa kiwango kinachodaiwa; vikwazo vya kimataifa vimeathiri upatikanaji wa dawa na vifaa vya matibabu, na wananchi wengi wamelalamika kuhusu uhaba. Aidha, madai kwamba watu hawakimbii nchi si sahihi, kwani mamilioni ya Wairan wamehama kutokana na ukandamizaji wa kisiasa, ukosefu wa ajira na uhuru mdogo wa kiraia.

Kuhusu wanawake, ni kweli wako wasomi, lakini pia wanakabiliwa na vizuizi vikubwa vya kijamii na kisiasa.

Hatimaye, kusema kwamba wananchi hawapaswi kuandamana ni kupuuza ukweli kwamba maandamano mara nyingi hutokana na ukosefu wa uhuru, ukandamizaji wa haki za binadamu na matatizo ya kiuchumi. Iran si mfano wa ukamilifu bali taifa lenye changamoto kubwa zinazohitaji kutazamwa kwa uhalisia.
MBONA WATU WENGI MNAKWEPA KUGUSIA ISHU YA VIKWAZO VYA KIUCHUMI NA UMAFIA ANAVYOEKEWA NA KUFANYIWA NA MMAREKANI NA ISRAEL.....
MSHALISHWA NA KUKARISHWA KM NI UDIKTETA, SIJUI UMASKINI,MAANDAMANO MNASHINDWA KUELEWA ZOTE HIZO MBINU CHAFU ZA MMAREKANI, UNAEKEWA VIKWAZO KIUCHUMI, HUUZI NJE WALA KUAGIZA CHOCHOTE, MAISHA YANAKUWA MAGUMU SO LAZIMA WATU WAANDAMANE...
ILA SASA UKISIKILIZA VYOMBO VYAO VYA HABARI BBC,ALJAZERA, CNN KM TBC KWA TZ YETU UKU...MMETOLEWA MIFANO HAPO NCHI KM LIBYA,IRAQ VP MAENDELEO YAKE LEO YA KICHUMI NA SIASA BAADA HAO MADIKTETA WAO ULIOAMININISHWA KUUWAWA NA USA?...
OMBA YASIJE TZ HAYA...
 
Udikteta wa utawala wa kidini(Theocracy).
HATA MAREKANI NAE NI DIKTETA TU NDANI YA JOHO LA KUTETEA DEMOKRASIA DUNIANI,
ANAVAMIA NCHI ZINGINE KM LIBYA,IRAQ, VENEZUELA NK KWANINI ASIFUATE TARATIBU AU KUSHIRIKIANA NA UNO UMOJA MATAIFA AMBAYO KAIWEKA MFUKONI...
SIO WAMAREKANI WOTE WANAPENDA SERA ZAO ZA KUKUBALI MASHOGA, TRANSGENDER NK NCHINI KWAO LAKINI WANAJUA KUYA HANDLE HAYO NA KUWATULIZA KIAKILI WAANDAMANAJI WAPINGAJI WAKATI WW TZ NDANI NCHI YAKO UKIPINGA HADHARANI USHOGA UTAITWA JINA LOLOTE BAYA NA KUWEKEWA VIKWAZO...
MAREKANI ANASHIRIKI KTKA NCHI NYINGI KUWAWEKEA VIBARAKA ILI MASLAHI YAKE YA HALALI NA YA SIO HALALI YASIHOJIWE, MARAIS KM AKINA GHADAFI,MAGUFULI NK NI KIRUSI KWAO LABDA AKINA MR SLIM PAKA HAO UNAKUTA KUNA MISSION ZINGINE ZA SIRI WANAWAFANYIA USA...
WAKO WAPI LEO AKINA BOB MARLEY,TUPAC, DOKTA SEBA WA HONDURAS ILIESEMEKANA ANA DAWA ZA UKIMWI NA KANSA NK WALIOJARIBU KUCHALLENGE MASLAHI YA MAREKANI?? TUNAJUA NINI KILIWAPATA....
ILA HATUKATAI NI KWELI MAREKANI KIUCHUMI NA MAENDELEO WAPO VIZURI,AJIRA ZA KUMWAGA, PESA YAO YA DOLLAR INAYOTAWALA DUNIA PIA IPO VZURI PIA IMECHOTA NA KUONGEZEA WASOMI NA WATAALAMU KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI YA DUNIA NA KUZIDI KUINDELEZA KIUCHUMI NK, KUNYONYA RASILIMALI YA NCHI ZINGINE WAKISHIRIKIANA NA MARAIS VIBARAKA WAO AU WA 10% NA KUINEMESHA TAIFA LAO USA , COZ SMTYM MAENDELEO AU UTAJIRI UNAHUSISHA KUWANYONYA AU KUWA LOBBY WENGINE.. SO NI TAIFA LILOENDELEA WATU WENGI DUNIANI WANAPENDA KWENDA KUISHI UKO SABBU FURSA NYINGI ZILIZOPO UKO...
KHS HAO WAKIMBIZI SIJUI DIASPORA WANAOKIMBIA IRAN LAZIMA WAKIMBIKILIE MAREKANI KWA ANAEWAPA KIBURI NA KUWACHONGANISHA KWA MASLAHI YAKE YEYE NA ISRAEL,PIA WAFUNGWA KISIASA WAKIOMBA HIFADHI USA,CANADA NK WANALIPWA REFER KWA GOD BLESS LEMA WA TZ, PIA KAMA NILIVYOSEMA PAMOJA NA UBABE WAKE MAREKANI NI KIMBILIO LA WENGI,KUTOKA NA SIASA ZAO, NA ANA UCHUMI MZURI NA FURSA MBALIMBALI KM ILIVYO AFRIKA KUSINI KWA AFRIKA YETU..
 
Utawala wowote unaolazimisha wanawake kufunika vichwa vyao kwa sababu za dini unatakiwa kupingwa vikali.

Utawala wowote unaowapangia wanaume style za kunyoa haufai

Utawala wowote ambao mkuu wa nchi anakuwa ni imamu na anaongoza nchi kwa muongozo wa kidini unatakiwa kupingwa vikali na kuangushwa, ni ujinga kuwa na theocracy katika Karne ya 21.
Nyinyi watu mnaojiita wasomi kiukweli mnaa akili nyepesi sana yan.
 
MBONA WATU WENGI MNAKWEPA KUGUSIA ISHU YA VIKWAZO VYA KIUCHUMI NA UMAFIA ANAVYOEKEWA NA KUFANYIWA NA MMAREKANI NA ISRAEL.....
MSHALISHWA NA KUKARISHWA KM NI UDIKTETA, SIJUI UMASKINI,MAANDAMANO MNASHINDWA KUELEWA ZOTE HIZO MBINU CHAFU ZA MMAREKANI, UNAEKEWA VIKWAZO KIUCHUMI, HUUZI NJE WALA KUAGIZA CHOCHOTE, MAISHA YANAKUWA MAGUMU SO LAZIMA WATU WAANDAMANE...
ILA SASA UKISIKILIZA VYOMBO VYAO VYA HABARI BBC,ALJAZERA, CNN KM TBC KWA TZ YETU UKU...MMETOLEWA MIFANO HAPO NCHI KM LIBYA,IRAQ VP MAENDELEO YAKE LEO YA KICHUMI NA SIASA BAADA HAO MADIKTETA WAO ULIOAMININISHWA KUUWAWA NA USA?...
OMBA YASIJE TZ HAYA...
Jitahidi kuandika kwa herufi ndogo (lower case) ukitumia herufi kubwa (capital letters) ni kama UNATUFOKEA
 
Taarifa hii kuhusu Iran inaonyesha upande mmoja tu wa hali halisi na inahitaji kukosolewa kwa uwiano.

Kwanza, madai kwamba “mafiasadi hukiona cha moto” si sahihi kikamilifu; Iran imekumbwa mara nyingi na tuhuma za ufisadi wa kifisadi wa kisiasa na kiuchumi, na si kila mtu mwenye nguvu hushughulikiwa kwa usawa.

Pili, hoja kwamba gharama za maisha ni nafuu sana pia ni ya kupotosha. Ingawa mafuta na gesi ni bei nafuu, mfumuko wa bei na kushuka kwa thamani ya sarafu ya Iran vimeathiri vibaya uwezo wa wananchi kununua bidhaa za msingi.

-Mfumuko wa bei Ulifikia 48.6% Oktoba 2025 na 42.2% Desemba 2025.

-Umasikini, Kati ya 27%–50% ya Wairan wanaishi chini ya mstari wa umasikini

-Lishe, 57% ya Wairan waliripotiwa kuwa na kiwango fulani cha utapiamlo (2024)

-Sarafu, thamani ya Rial imeshuka sana; dola moja ya Marekani ilivuka 100,000 tomans Machi 2025

-Ajira, ushiriki wa nguvu kazi uko chini licha ya kupungua kwa kiwango cha ukosefu

Tatu, huduma za afya na dawa si bora kwa kiwango kinachodaiwa; vikwazo vya kimataifa vimeathiri upatikanaji wa dawa na vifaa vya matibabu, na wananchi wengi wamelalamika kuhusu uhaba. Aidha, madai kwamba watu hawakimbii nchi si sahihi, kwani mamilioni ya Wairan wamehama kutokana na ukandamizaji wa kisiasa, ukosefu wa ajira na uhuru mdogo wa kiraia.

Kuhusu wanawake, ni kweli wako wasomi, lakini pia wanakabiliwa na vizuizi vikubwa vya kijamii na kisiasa.

Hatimaye, kusema kwamba wananchi hawapaswi kuandamana ni kupuuza ukweli kwamba maandamano mara nyingi hutokana na ukosefu wa uhuru, ukandamizaji wa haki za binadamu na matatizo ya kiuchumi. Iran si mfano wa ukamilifu bali taifa lenye changamoto kubwa zinazohitaji kutazamwa kwa uhalisia.
Umecopy from Chat gpt
 
Shithole wakati hiyo hiyo serikali ya kiislam iliwekwa na wananchi wenyewe?

Na ndo wananchi hao hao hawautaki wanaandamana utawala ubadilike. Kila kitu kimefeli ile nchi. Ukiacha mikwara yake kwa US na Israel ambayo haina tija yeyote, Iran imerudi nyuma mara 100. Wananchi wake wanaishi kwa tabu kuliko bongo.
 
JF bwana, kwahiyo kwa akili zako unadhani kiongozi anayekuja baadaya Khamenei ndio atakua friendly kwa US? hizi assumptions mnatoaga wapi? If anything atakua extremist kuliko sasa. Kwani mapinduzi ya 1978/9 hapo Iran walitarajia nini na wakaishia kupata nini?

Hakuna sehemu nimesema awe friendly na USA bali wafanye kazi waache kuwaiba wananchi akili kwa kuimba "death to america" huku hamna kitu wanafanya.

Wanachofanya ayatollah na genge lake hakina tofauti na ccm wanachofanya, kusingizia mabeberu kila kitu hata kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wenu. US haijasababishi uhaba wa maji, umeme, social services Iran. Hiyo ni inefficiency ya utawala. Leo wamezima na internet kama Samuya, hilo nalo limesababishwa na USA? Point is, Iran wanaiwaza sana US na kujaribu kushindana nayo huku wanaoumia zaidi ni wairan wenyewe.
 
Hakuna sehemu nimesema awe friendly na USA bali wafanye kazi waache kuwaiba wananchi akili kwa kuimba "death to america" huku hamna kitu wanafanya
Angefanyeje zaidi? Na vikwazo vyote hivyo, ingekua Tanzania ingesha collapse!! So hata aje nani inflation haiwezi shuka eti kisa tu Ayatollah kaondoka.

Wanachofanya ayatollah na genge lake hakina tofauti na ccm wanachofanya, kusingizia mabeberu kila kitu hata kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wenu.
Sasa vikwazo wamlaumu nani? Si amevileta USA, hayo mabomu waliyopigwa na Israel kwenye maeneo muhimu unadhani ingekua Tanzania hapa si uchumi ungeshuka mara 100!! Nani middle east anaweza sustain vikwazo? Hata Israel hawezi inge collapse ndani ya mwezi tu.
haijasababishi uhaba wa maji, umeme, social services Iran
Maji ni sababu ya mvua, na hata sasa wamefanya cloud seeding it takes time ila inaweza leta majibu. Drought ya Iran ni kubwa katika historia sasa wangefanyeje?
Leo wamezima na internet kama Samuya, hilo nalo limesababishwa na USA? Point is, Iran wanaiwaza sana US na kujaribu kushindana nayo huku wanaoumia zaidi ni wairan wenyewe
Sio Ayatollah tu, hata akipinduliwa watakaokuja watapambana na USA na Israel mwanzo mwisho. Iran inakua sabotaged sana na Israel and US. Nyuklia walitumia kuzalisha umeme US wakailipua alafu unakuja kulaumu kuhusu umeme? Ulitaka wautoe wapi na mmeulipua?
 
Protesters took to the streets of Tabriz on Friday night, chanting "death to the dictator" and "Seyyed Ali (Khamenei) will be toppled this year", a video obtained by Iran International shows.
 
Na ndo wananchi hao hao hawautaki wanaandamana utawala ubadilike
Si uchaguzi tu ulikua mwaka jana? Mbona hawakutumia hiyo window kuweka viongozi wanaotaka? Iran ni democracy sio kama Tz huku ambako uchaguzi ni wa maigizo.
 
Hawa watakuja kujuta kama Walibya tu.

Kwa tuliowahi kuishi Iran tunajua kule viongozi wao na wananchi wao wana msemo wao kwamba "Iran is made for Iranians".... huo msemo hutumika kulenga kwenye rasilimali zao kwamba zipo kwa ajili ya kunufaisha Wairan

Kule Iran mafisadi hukiona cha moto, wavunja sheria wanashughulikiwa haijalishi we ni bilionea au nani ukiwepa kodi au kutakatisha pesa au ukiibia nchi mapesa ukaenda ficha nje unakula kitanzi tena hadharani.

Vyakula ni bei rahisi sana, ukiwa na milioni moja ya Bongo pale Iran unasavaivu mwaka mzima, vyakula ni bei chee sana hususan mchele tena ule wa Basmat.
Kwa ambao ni wachanga nawakumbusha tu kuwa Ni wairan hao hao waliandamana kumtoa Shah wakitaka mfumo wa Kiislam, ni Wairan hawa hawa walipiga kura ya maoni kwa asilimia 95 wakitaka nchi yao iongozwe na mfumo wa kiislam kwa kiasi fulani....
Gesi, mafuta ni bei rahisi sana umeme ni masaa 24, huduma za afya zipo vizuri sana kule mtu kufa kwa kukosa dawa au matibabu ni nadra sana kitiba wapo vizur sana.

Watu wanapata vitu vya msingi karibia vyote ndo maana hawakimbii nchi yao.. Changamoto ambayo ipo ni vikwazo tu na suala la ajira lakini serikali inatoa fungu la kila mwezi kwa wasio na ajira.

Ukiangalia ndo nchi yenye wanasayansi wengi wanawake wa kule ni wasomi sana.

Wana viongozi wazalendo ambao hawauzi bandari zao kwa mikataba ya kibwege,hawauzi gesi na madini kwa kubadilishana na condom na vilainishi kama huku.Venezuela ni kama tz tu nchi ilikua inaendeshwa kihuni watu wanatekwa hali mbaya na ufisadi wa kutisha....

Sijui wanaandamania nini? Matatizo yao wanafahamu fika yanasababishwa na vikwazo.....Imagine Iran wasingekua na vikwazo wangekua level ya Japan...

Sisi ndo tunapaswa kuandamana maana hii nchi yetu imeoza kila pahali, ccm wameigeuza hii nchi kuwa mnada na chaka la upigaji, huu ujinga huwezi kuukuta Iran...Na mazuri yote wanajazwa upepo waandamane...

Libya,Iran, Qatar, Kuwait, UAE,Oman ndo nchi ambazo watu wake hawapaswi kuandamana kabisa maana viongozi wao ni wazalendo na wameleta maendeleo makubwa sana

My take:Wairan watajuta mara elfu zaidi ya walibya....Hawajui wanachoandamania....
Nimeshindwa kabisa kuelewa mantiki ya suali lako.

Nukuu -“Nachoka sasa baba yenu Clement Mwandambo”.
 
Kwa hiyo Kwa sababu umeenda umekuwa mjuaji kuliko wao? Andiko lako ni kipimo cha ujinga wako
 
Back
Top Bottom