Sielewi wairan wanaandamania nini?

Sielewi wairan wanaandamania nini?

Hawa watakuja kujuta kama Walibya tu.

Kwa tuliowahi kuishi Iran tunajua kule viongozi wao na wananchi wao wana msemo wao kwamba "Iran is made for Iranians".... huo msemo hutumika kulenga kwenye rasilimali zao kwamba zipo kwa ajili ya kunufaisha Wairan

Kule Iran mafisadi hukiona cha moto, wavunja sheria wanashughulikiwa haijalishi we ni bilionea au nani ukiwepa kodi au kutakatisha pesa au ukiibia nchi mapesa ukaenda ficha nje unakula kitanzi tena hadharani.

Vyakula ni bei rahisi sana, ukiwa na milioni moja ya Bongo pale Iran unasavaivu mwaka mzima, vyakula ni bei chee sana hususan mchele tena ule wa Basmat.
Kwa ambao ni wachanga nawakumbusha tu kuwa Ni wairan hao hao waliandamana kumtoa Shah wakitaka mfumo wa Kiislam, ni Wairan hawa hawa walipiga kura ya maoni kwa asilimia 95 wakitaka nchi yao iongozwe na mfumo wa kiislam kwa kiasi fulani....
Gesi, mafuta ni bei rahisi sana umeme ni masaa 24, huduma za afya zipo vizuri sana kule mtu kufa kwa kukosa dawa au matibabu ni nadra sana kitiba wapo vizur sana.

Watu wanapata vitu vya msingi karibia vyote ndo maana hawakimbii nchi yao.. Changamoto ambayo ipo ni vikwazo tu na suala la ajira lakini serikali inatoa fungu la kila mwezi kwa wasio na ajira.

Ukiangalia ndo nchi yenye wanasayansi wengi wanawake wa kule ni wasomi sana.

Wana viongozi wazalendo ambao hawauzi bandari zao kwa mikataba ya kibwege,hawauzi gesi na madini kwa kubadilishana na condom na vilainishi kama huku.Venezuela ni kama tz tu nchi ilikua inaendeshwa kihuni watu wanatekwa hali mbaya na ufisadi wa kutisha....

Sijui wanaandamania nini? Matatizo yao wanafahamu fika yanasababishwa na vikwazo.....Imagine Iran wasingekua na vikwazo wangekua level ya Japan...

Sisi ndo tunapaswa kuandamana maana hii nchi yetu imeoza kila pahali, ccm wameigeuza hii nchi kuwa mnada na chaka la upigaji, huu ujinga huwezi kuukuta Iran...Na mazuri yote wanajazwa upepo waandamane...

Libya,Iran, Qatar, Kuwait, UAE,Oman ndo nchi ambazo watu wake hawapaswi kuandamana kabisa maana viongozi wao ni wazalendo na wameleta maendeleo makubwa sana

My take:Wairan watajuta mara elfu zaidi ya walibya....Hawajui wanachoandamania....
𝗠𝗶𝗳𝘂𝗺𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗶𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗿𝗮𝗯𝘂 𝗻𝗮 𝘀𝗵𝗲𝗿𝗶𝗮 𝘇𝗮 𝗸𝗶𝗱𝗶𝗻𝗶.𝘇𝗮 𝗸𝗶𝗴𝗮𝗻𝗱𝗮𝗺𝗶𝘇𝗮𝗷𝗶. 𝗭𝗶𝗹𝗶𝘇𝗼𝗽𝗶𝘁𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝘄𝗮𝗸𝗮𝘁𝗶
 
Lakini tawala zinazofosi watu wawe mashoga unapaswa kuachwa s ndio

Wewe nikikuambia uchague kati ya kuwa shoga na kulawilitiwa au mke wako avae mavazi ya heshima utachagua kipi?
Utawala Gani umefosi mtu kuwa shoga kama umzaliwa kuwa shoga ni wewe tu usisingizie utawala wakati wewe ni shoga
 
Iran ikiachana na mambo ya kutaka wafaidisha Urusi itakuwa nchi nzuri sana maana GDP yake ni mara 6 ya Tanzania
 
MBONA WATU WENGI MNAKWEPA KUGUSIA ISHU YA VIKWAZO VYA KIUCHUMI NA UMAFIA ANAVYOEKEWA NA KUFANYIWA NA MMAREKANI NA ISRAEL.....
MSHALISHWA NA KUKARISHWA KM NI UDIKTETA, SIJUI UMASKINI,MAANDAMANO MNASHINDWA KUELEWA ZOTE HIZO MBINU CHAFU ZA MMAREKANI, UNAEKEWA VIKWAZO KIUCHUMI, HUUZI NJE WALA KUAGIZA CHOCHOTE, MAISHA YANAKUWA MAGUMU SO LAZIMA WATU WAANDAMANE...
ILA SASA UKISIKILIZA VYOMBO VYAO VYA HABARI BBC,ALJAZERA, CNN KM TBC KWA TZ YETU UKU...MMETOLEWA MIFANO HAPO NCHI KM LIBYA,IRAQ VP MAENDELEO YAKE LEO YA KICHUMI NA SIASA BAADA HAO MADIKTETA WAO ULIOAMININISHWA KUUWAWA NA USA?...
OMBA YASIJE TZ HAYA...
Si mnasemaga Marekani Hana nguvu

Hivyo vikwazo vinamuathiri vipi Tena Iran.

Sikia dogo, enzi za kutawaliwa na Mavitabu ya dini ya miaka 2000 iliyopita ( iwe biblia au Quran )... Nchi nyingi zinazotawaliwa Kwa hayo mavitabu zitaanguka sana. Huwezi kutawala mwaka 2026 hutaki wanawake waendeshe magari. Lazima utapingwa tu.

Ndio maana Saud Arabia ameshaona huko Sasa hivi ana blend uislam uendane na miaka ya Sasa.

Sasa nyie endeleeni kutumia mavitabu ya miaka 2000 iliyopita kuongoza Gen Z
 
Iran issue kubwa Hawana mpango na raia ndio tatizo kubwa alafu hukumu za kikatiri zinazoendeshwa hadharani zinawaletea huzini kuu, Issue ya kusema chakula ni bei poa hapana kuna documentari za watalii kuzunguka na tamaduni za wairan street restraurant misosi ni mizuri ila ina bei mno, kumbuka irani haswa Teheran kuna raia zaidi ya 15 million so imagine kunahitaji mifumo yote iwe sawa like umeme,Seawage,drinking water Gas system barabara,mitaro n.k

Mara kibao kuna issue wa air pollution kuna wakati inakwa kama giza la moshi kuonana issue magari mengi viwanda vinachakata moshi angani n.k

wingi wa viwanda umesababisha upungufu wa maji miundo mbinu na vyazo vya maji umechepushwa kuelekea maji yaende viwandani kupooza mitambo, na Irani imekomalia neucrear ambayo nayo inahitai maji mengi sana kupooza, Mvua imekuwa ni issue kunyeesha, Madawa kutokana na vikwazo imekuwa ni issue,

Uhuru wa habari ni mdogo, ukiikosoa serikali wanakupa kesi kubwa haswa utaambiwa wewe ni agent wa Israel Mosad n.k uonevu umekuwa ni mkubwa. iachosha.

Thamani ya pesa tokea nilipoanza kuisikia ukilinganisha na Dollar like elfu elfu nane now ni million na ushenzi imagie unaagizaje bidhaa nje ya nchi ili uagize airpod ya dollar 10 basi ukachange rial million kumi ili ununue 10 usd kha. kuandamana haki yao Serikali imebase kutaka kuiangamiza Israel isiyowakosea kwa lolote eti wana machungu na walebanon na Waarab wa Palestina, ndio wajue hao wanaowatetea kama watawasapoti kipind cha maandamano.

Iran mara nyingi anaambiwa aishi kama nchi zingine wanavyoishi wao hawtaki kila siku Death to Israel Death to America. sijui wanapata nini wanapenda ugomvi wa kulazimisha... Tuuite Undava
Mafundisho kuhusu laana ya kibiblia ya Kaini na laana ya Hamu katika Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho

Wote wawili, mwanzilishi wa kanisa Joseph Smith na mrithi wake Brigham Young, walifundisha kwamba watu Weusi walikuwa chini ya laana ya Hamu, na laana ya Kaini.

Smith na Young wote wawili walitaja laana hizo kama sababu ya utumwa.

Pia walifundisha kwamba ngozi nyeusi iliwaashiria watu wa asili ya Kiafrika kuwa wamelaaniwa na Mungu.

Katika marekebisho ya Joseph Smith ya Biblia ya King James, na katika utayarishaji wa Kitabu cha Ibrahimu, alifuatilia hali hiyo ya kulaaniwa hadi kwenye laana zilizowekwa juu ya Kaini na Hamu, na akaunganisha laana hizo mbili kwa kuwasilisha wazao wa Kaanani wa Hamu kama wazao wa Kaini kupitia ukoo wa upande wa mama
 
Utawala wowote unaolazimisha wanawake kufunika vichwa vyao kwa sababu za dini unatakiwa kupingwa vikali.

Utawala wowote unaowapangia wanaume style za kunyoa haufai

Utawala wowote ambao mkuu wa nchi anakuwa ni imamu na anaongoza nchi kwa muongozo wa kidini unatakiwa kupingwa vikali na kuangushwa, ni ujinga kuwa na theocracy katika Karne ya 21.

Mafundisho kuhusu laana ya kibiblia ya Kaini na laana ya Hamu katika Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho

Wote wawili, mwanzilishi wa kanisa Joseph Smith na mrithi wake Brigham Young, walifundisha kwamba watu Weusi walikuwa chini ya laana ya Hamu, na laana ya Kaini.

Smith na Young wote wawili walitaja laana hizo kama sababu ya utumwa.

Pia walifundisha kwamba ngozi nyeusi iliwaashiria watu wa asili ya Kiafrika kuwa wamelaaniwa na Mungu.

Katika marekebisho ya Joseph Smith ya Biblia ya King James, na katika utayarishaji wa Kitabu cha Ibrahimu, alifuatilia hali hiyo ya kulaaniwa hadi kwenye laana zilizowekwa juu ya Kaini na Hamu, na akaunganisha laana hizo mbili kwa kuwasilisha wazao wa Kaanani wa Hamu kama wazao wa Kaini kupitia ukoo wa upande wa mama
 
Hawa watakuja kujuta kama Walibya tu.

Kwa tuliowahi kuishi Iran tunajua kule viongozi wao na wananchi wao wana msemo wao kwamba "Iran is made for Iranians".... huo msemo hutumika kulenga kwenye rasilimali zao kwamba zipo kwa ajili ya kunufaisha Wairan

Kule Iran mafisadi hukiona cha moto, wavunja sheria wanashughulikiwa haijalishi we ni bilionea au nani ukiwepa kodi au kutakatisha pesa au ukiibia nchi mapesa ukaenda ficha nje unakula kitanzi tena hadharani.

Vyakula ni bei rahisi sana, ukiwa na milioni moja ya Bongo pale Iran unasavaivu mwaka mzima, vyakula ni bei chee sana hususan mchele tena ule wa Basmat.
Kwa ambao ni wachanga nawakumbusha tu kuwa Ni wairan hao hao waliandamana kumtoa Shah wakitaka mfumo wa Kiislam, ni Wairan hawa hawa walipiga kura ya maoni kwa asilimia 95 wakitaka nchi yao iongozwe na mfumo wa kiislam kwa kiasi fulani....
Gesi, mafuta ni bei rahisi sana umeme ni masaa 24, huduma za afya zipo vizuri sana kule mtu kufa kwa kukosa dawa au matibabu ni nadra sana kitiba wapo vizur sana.

Watu wanapata vitu vya msingi karibia vyote ndo maana hawakimbii nchi yao.. Changamoto ambayo ipo ni vikwazo tu na suala la ajira lakini serikali inatoa fungu la kila mwezi kwa wasio na ajira.

Ukiangalia ndo nchi yenye wanasayansi wengi wanawake wa kule ni wasomi sana.

Wana viongozi wazalendo ambao hawauzi bandari zao kwa mikataba ya kibwege,hawauzi gesi na madini kwa kubadilishana na condom na vilainishi kama huku.Venezuela ni kama tz tu nchi ilikua inaendeshwa kihuni watu wanatekwa hali mbaya na ufisadi wa kutisha....

Sijui wanaandamania nini? Matatizo yao wanafahamu fika yanasababishwa na vikwazo.....Imagine Iran wasingekua na vikwazo wangekua level ya Japan...

Sisi ndo tunapaswa kuandamana maana hii nchi yetu imeoza kila pahali, ccm wameigeuza hii nchi kuwa mnada na chaka la upigaji, huu ujinga huwezi kuukuta Iran...Na mazuri yote wanajazwa upepo waandamane...

Libya,Iran, Qatar, Kuwait, UAE,Oman ndo nchi ambazo watu wake hawapaswi kuandamana kabisa maana viongozi wao ni wazalendo na wameleta maendeleo makubwa sana

My take:Wairan watajuta mara elfu zaidi ya walibya....Hawajui wanachoandamania....
Kajamaa kanaishi makunduuchi kanaambiwa ndo Iran kanakuja kuandika uharo humu kuwa kameishj iran. Kanashangaza kuwa kanaijua Iran kuliko wairan wenyewe kakiwa mchambawima kamevaa kipedo pusha na kobazi.
 
Si uchaguzi tu ulikua mwaka jana? Mbona hawakutumia hiyo window kuweka viongozi wanaotaka? Iran ni democracy sio kama Tz huku ambako uchaguzi ni wa maigizo.

Iran ni shithole kama nchi nyingi za Africa tofauti mabara tu.
 
Iran ni shithole kama nchi nyingi za Africa tofauti mabara tu.
Iran Rais alishinda kwa 57% so huwezi linganisha huku kwa aliyeshinda 98%. Hata level ya maendeleo ni mbingu na ardhi
 
Zama za ayattolah zishafika mwisho, ukweli mchungu! Kwa sayansi ilipofikia ni vigumu sana kuendelea kudanganya umma ulioelimika kama wa Iran kwa hypnosis za kidini ibaki kwa kenge sisi tunaonyimwa elimu na masisiemu!
 
Iran Rais alishinda kwa 57% so huwezi linganisha huku kwa aliyeshinda 98%. Hata level ya maendeleo ni mbingu na ardhi

Maendeleo huku wanaandamana kwa kukosa maji, umeme, uhuru, kazi na service za kawaida tu? Maendeleo gani unazungumzia?
 
Mamluli wako na agenda Yao ya regime change Ila wanatumia hili daraja lá maandamano.
Iran ni ya wairan
Nalog off
 
Maendeleo huku wanaandamana kwa kukosa maji, umeme, uhuru, kazi na service za kawaida tu? Maendeleo gani unazungumzia?
Kuna nchi gani ya chini ya Sahara inaifikia maendeleo Iran? Maana huyo amesema ipo kama nchi za Afrika tu
 
Back
Top Bottom