Wewe utakuwa unaishi sokomatolaPunguza mihemko !
Mimi ni mwenyeji kabisa hapa mbeya mjini
Itakuwa milioni 7...Sugu tu amepigiwa kura za ubunge million 2+ Most voted MPUnawivu tu na mbeya. Inaonyesha hata civics form two hukusoma wewe. Hili jiji lina watu karibia laki7 ulitegemea paitwe tarafa au klasta
Kwa hiyo mbeya haimo maana yakeDar
Mwanza
Arusha
Tanga
naona hujasafiri miji mingine ukaona. kama kuna majiji mengine mbali na dar basi na mbeya imo tena kwa viwango vya juu labda baada ya mwanza. pita miji ambayo bado sio majiji kisha linganisha na mbeyaKama kichwa cha mada kinavyojieleza,
Mimi ni mwenyeji wa Mbeya mjini, kwa muda mrefu lakini mi ukweli sioni sababu za msingi za kuipatia Mbeya hadhi ya jiji yaani mji upoupo tu labda wajuvi mnieleze kama kuna sababu za kufanya Mbeya kuwa jiji.
Nawasilisha.
Nimetembea kote huko ,Mimi si mjinga nikurupuke kuanzisha mada nisioijua!naona hujasafiri miji mingine ukaona. kama kuna majiji mengine mbali na dar basi na mbeya imo tena kwa viwango vya juu labda baada ya mwanza. pita miji ambayo bado sio majiji kisha linganisha na mbeya