SmAlL pDiDy. jr
JF-Expert Member
- Dec 27, 2014
- 392
- 133
Labda hivyo unavyochanganya herufi kubwa na ndogo kwenye mistari yako ndo vimemboa kaamua kukausha.
Jiangalie!
bora ushukuru hujapigwa mzinga pasaka wewe unalalamika
NiMeaNdiKa kiGentLemen hapo. Nipe ushauri as long as UjuMbE umEeleWka
imanihope njoo unisaidie kusoma hii, mimi sijui kusoma.
imanihope njoo unisaidie kusoma hii, mimi sijui kusoma.
ushaachwa ndugu..haiitaji phd kujua hilo
Ivi demu awe na mwanaume anayemtunia msg za ivi au instagram unaandika ivi, si atakutosa tu! Mwanaume gani sasa uyo? mi nkajua we bado uko chekechea.
shoga kaachwa huyu!!
shoga kaachwa huyu!!
imanihope mzima wewe???????????Duuuuh sielewi kwa kwel...no comment... style to spoil hii kiukweli
KwAhIyo unaNisHauri niaNze fanyA manuNuzi ya Geisha kwanzia sasa.
yAani sijui nafanYaje nakutongoza mpakA nimeSahAu.