kazurikazuri
JF-Expert Member
- Aug 9, 2014
- 237
- 70
mi mwenyewe naogopa kuumia....Kamsaidie kusuguliwa ili asiumie
Nina mpenzi wangu tangu tumeanza mahusiano tumekaa mwaka bila kufanya mapenzi.
Wiki moja iliyopita tulifanya kwa mara ya kwanza.
Lakini sasa leo ni siku ya sita hii kitu bado inauma.
Embu nisaidieni ni kawaida nimekaa muda mrefu bila kuduu au jamaa atakuwa na kitu kikubwa kuliko kitu yangu au ni nini.

alikutana na AVATAR yako!!!!!!!!kwani alikufanya sana?
Anadunda nayo haijatokamo.......Au imepoteleamo.....
pole sana dada. Dawa hii hapa...
Chukua kitunguu saumu, tangawizi, kinguu cha kawaida na pilipili kichaa au manga. Changanya kwenye kinu kidogo twanga hadi iwe unga.
Chemsha huo unga unga/mchanganyika kwa nusu dakika. Then kamua maji yake kama glass tatu.
Hayo maji utaoshea pale panapouma asubuhi mchana na jioni
all the best!!
utauwa
aiseeeeealikutana na AVATAR yako!!!!!!!!